Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
867
Salaam wana fikra pevu.

Mara.png

Je, unaweza kueleza ni eneo gani ulikutana na mwenza wako kwa mara ya kwanza, pia je ni kweli kwamba tabia na mwenendo wa mwenza (mke/mume) hutegemea zaidi na sehemu (mf. Kanisani, sokon, baa...etc) mlipokutana kabla ya kuanzisha mahusiano?

Mwisho kabisa, ni sehemu ipi sahihi unayoweza kukutana na mwenzi wa maisha.

Naomba kuwasilisha.
 
Unazungumzia wenye ndoa au hata wakina sie!? Na kama hadi wakina sie unamzunguzi yule wa kwanza au manake wengine tuna idadi ya ka wiki nzima hivi!?
 
Kwenye kampeni akiwa anagombea uraisi alafu mm nilikua chama pinzani basi kila akiongea mm naigiliza maneno yake huku nafatiliza sauti yake basi watu wanacheka sana kumbe kuna wafuasi wake (askari kanzu) walikua karibu nami wakanikamata eti naleta vurugu ktk kampeni (akasema nipelekwe mbele yake)wakanipeleka kwake ndio hapo tukaonana live sasa akanipenda sana ivo hakunigombeza badala yake (happy ending)
 
Mie mara ya kwanza kufanya nilibakwa na jimama, nilikuwa nina umri wa miaka 16, alikuwa jirani yangu. Mpaka leo sina habari ya ma lavu stori, ni Buu Baa unanipa nakupa tukimaliza tusijuwane, nikishikwa nakupigia kama una nafasi ok kama hauna naambaa. hamna noma wala nyodo wala kujuwana. Hiyo ndio rule yangu.
 
kwenye kampeni akiwa anagombea uraisi alafu mm nilikua chama pinzani basi kila akiongea mm naigiliza maneno yake huku nafatiliza sauti yake basi watu wanacheka sana kumbe kuna wafuasi wake (askari kanzu) walikua karibu nami wakanikamata eti naleta vurugu ktk kampein (akasema nipelekwe mbele yake)wakanipeleka kwake ndio hapo tukaonana live sasa akanipenda sana ivo hakunigombeza badala yake .......................(happy ending)

hiyo lazima itakuwa mwaka 2005 kabla hajaanza kuzungukwa na TISS kila kona na wewe ukiwa PPT Maendeleo
 
Unazungumzia wenye ndoa au hata wakina sie!? Na kama hadi wakina sie unamzunguzi yule wa kwanza au manake wengine tuna idadi ya ka wiki nzima hivi!?

mkuu round ya wiki, tutapona kweli?? Mi namaanisha yule wa malengo ya mda mrefu
 
kwenye kampeni akiwa anagombea uraisi alafu mm nilikua chama pinzani basi kila akiongea mm naigiliza maneno yake huku nafatiliza sauti yake basi watu wanacheka sana kumbe kuna wafuasi wake (askari kanzu) walikua karibu nami wakanikamata eti naleta vurugu ktk kampein (akasema nipelekwe mbele yake)wakanipeleka kwake ndio hapo tukaonana live sasa akanipenda sana ivo hakunigombeza badala yake .......................(happy ending)

That means ur name is...()? Kipindi chote ulikuwa single au kuna mtu aliugulia maumivu..i cant imagine
 
Kwenye daladala la gongo la mboto,alikua kasimama nkamwachia siti basi akaniomb namba ya simu.
 
nilimweka ndani (polish posht).....
tukashauriwa kesi tukaimalizie nyumbani......
wakati wa usuluhishi tukadondokeana......
 
That means ur name is...()? Kipindi chote ulikuwa single au kuna mtu aliugulia maumivu..i cant imagine
Kwani wanaoenda ktk kampeni lazima awe mtu mzima mbona mimi naendaga na marafiki zangu na wala sijafikisha 23.

Wakati nasoma shule moja ya msingi alikuja mtu wa ccm karibu na uwanja wa shule yetu basi siku iyo yote hatukusoma tuliambiwa tuende hapo uwanjani ivo kwa uwezo wangu wa kufikiri AMINATA 9 hajafikisha hata 25 kama uongo abishe nimpe sababu

Pili huyo mtu itakua si chama tawala na sio lazima awe wale walioshinda itakua anaweza kua hata wale waliopendekezwa tu(mana vyama upinzani kuna vijana wengi) ila tawala ni vibabu vingi mnooooo
samahani kama nimechambua sana ila nina uhakika ww ni msichana mdogo bado YANI HUJAFIKISHA 25 na hilo huwezi kubisha
 
kwenye mikahawa shambani kila mtu alikuwa kaenda kwa ajili ya shortcall wakati yeye kasimama mi nilikuwa nimechuchumaa nilipoinua macho nikaona kikojoleo basi kila mtu akasema i do tukaelemana
 
ilikuwa mission au coincedence, behaviour zikoje kwa sasa amani iko? Vp je akichelewa kurudi kutoka kwenye ulanzi

behaviour za nini? hakuna kuchelewa kurudi maana muda kwetu sio issue, na kila mtu anapiga ulanzi kwa wakati wake
 
Back
Top Bottom