Mlikubali kondom,uzazi wa mpango,vyandarua vya dawa,umiss nk.,sasa mkubali na ufisadi

Tikerra

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
1,702
146
Watanzania kwa bahati mbaya hatuko makini sana.Nimeshasema mara nyingi kwamba tumepoteza kabisa uwezo wa kuweza kutambua ukweli na uwongo,na uovu na wema.Sasa tunapoendelea kulalamikia ufisadi na huku tunatumia kondom na kuendele kushabia vichupi vya Lundenga sieleiwi.This is hypocrisy.Yaani ni unafiki kabisa.Aliyeleta kondom na kumleta Lundenga ndiye huyo huyo aliyesababisha ufisadi.Ni yule Mwovu,Ibilisi,'fool stop.'Kwa hiyo mpaka hapo tutatakapo weza kupambanua uwovu na wema na kuukataa kabisa katika jamii,ndipo hapo ufisadi nao utakapo toweka.Kwa maneno rahisi ni kwamba tumkatae shetani na kazi zake zote,kinyume cha hapo 'we are fighting a loosing battle.'Kwaherini.
 
Amka ndugu yangu Modest,' try to know the truth.'Inaelekea unayoyajua umeyachukulia kwamba ndivyo kweli yaliyvo.Ngoja ni kuambie,asilimia 95 ya mambo unayodhani ni kweli ni uongo.Wake up!
 
Mkuu umeitwist logic mpaka ikavunjika!! Yaani tukatae na vyandarua? Kweli kazi ipo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom