Mlevi nimeingia chit chat!

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
This thread is closed!
Nimeongia chit chat sikujua tittle imeshakaa na
Siwezi kufuta bila msaada wa mods!
Ousofia kalewa,thread closed!
Au acheni tu sridi itelezi ingiine ndani ya sridi achechi usupastaz waungwana.
 
Kubanduliwa?
Kumangwa?
Kusuguliwa?
Kukung'utwa?
Kushughulikiwa?
Kusuuzwa?
 
Wewe sio mlevi bana,mlevi gani anawahi kurudi nyumbani namna hii..Labda uniambie uko baa unatumia simu nitakuelewa
lakini kwa muda huo saa saba na dk 19 bado hujafikia cheo cha ulevi...
 
Wewe sio mlevi bana,mlevi gani anawahi kurudi nyumbani namna hii..Labda uniambie uko baa unatumia simu nitakuelewa
lakini kwa muda huo saa saba na dk 19 bado hujafikia cheo cha ulevi...

Haki ya nani nokia jeneza imepost JF
 
Ndio kitu gani tena hicho...??? Ila nina imani hicho cheo cha ulevi ulichojipachika huna na wala hutakifikia,au unataka kuwa tegemeo la Taifa hili kama mkware alivyosema...

Mi mwanaharakati ila nabrowse kwa heLa ya mirathi
 
Shikarababababbaba,--i-i--i--i-i ushindwe kwa jina la jesus

Wadau wake wote huanzia hivyo hivyo!
Mbogo kisha mbogo tena mboga alafu mbogo!
Mwisho wa jua tepweeetee!
Hhaaamm! Kama kupaka slesi siagi vile!
 
Wadau wake wote huanzia hivyo hivyo!
Mbogo kisha mbogo tena mboga alafu mbogo!
Mwisho wa jua tepweeetee!
Hhaaamm! Kama kupaka slesi siagi vile!

Naona unapaste life yako kijana,jifanye streka unaowaona malosa wanakaba usukani
 
Hujachacha kaka,hela ya mirathi..?? Mi huwa nalewea hela ya mkopo wa Benki nikiifumania,na narudi nyumbani ikiisha....

Nipo kama rushwa kila sekta,msafi kama sembe,acha hizo lewea hela za kanisa basi
 
Naona unapaste life yako kijana,jifanye streka unaowaona malosa wanakaba usukani[/
QUOTE]
Bado hujasema bado!
Hivyo vya streka sijui malosa tupa kulee!
Unavijua wewe! Hapa biashara ni ile uliotutangazia "kua unatamani" mpaka ufunguke hicho unachotamani.
Mbona umefuta ulichokiomba?
Tatizo nini ?
Shamlani au ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom