Mlemavu asiyekuwa na mikono anayefanya kila kitu kwa kutumia miguu

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
ulemavu huu haujampunguzia nguvu na malengo kijana huyu lengo lake ni kuja kuwa rais na kuifanyia nchi yake vitu vizuri, baada ya familia yake kukusanya fedha kwa ajili ya kumtibu ulemavu huu, walikuta hautibiki, so kijana akajiongeza na mwenyewe kutumia miguu yake kwa kuwa miundombinu ya kusaidia walemavu kama yeye haipo
 
Huyu mlemavu ana uwezo wa kurusha ndege !!
images


Walemavu huwa na nguvu za akili na kujituma hadi kufanikiwa.....
 
Back
Top Bottom