Mlanguzi maarufu wa mihadarati akamatwa Mexico

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Majeshi ya Mexico, yamemtia mbaroni kinara mmoja mkuu wa genge la Beltrán Leyva, la ulanguzi wa dawa za kulevya katika jimbo la Nuevo Leon, kaskazini mwa nchi hiyo.

Eleazar Palomo Castillo, maarufu kwa jina El Cochi au The Pig, anatajwa kuwa kama kiongozi mkuu wa mihadarati katika mji wa San Pedro Garza García, na naibu kamanda wa genge hilo katika jimbo hilo, linalo pakana na Marekani.

Taarifa kutoka kwa jeshi la Mexico zilisema kuwa alikamatwa baada ya gari lake kukataa kusimama kwenye kizuizi cha ukaguzi karibu na uwanja wa ndege wa Monterrey.

Chanzo: BBC
 
_93967153_dd173797-ffce-4b0d-81cd-c2d1e8510c77.jpg

Wanajeshi wa kupambana na walanguzi wa mihadarati Mexico
Majeshi ya Mexico yamemtia mbaroni kinara mmoja mkuu wa genge la Beltrán Leyva, la ulanguzi wa dawa za kulevya katika jimbo la Nuevo Leon, kaskazini mwa nchi hiyo.

Eleazar Palomo Castillo, maarufu kwa jina El Cochi au The Pig, anatajwa kuwa kama kiongozi mkuu wa mihadarati katika mji wa San Pedro Garza García, na naibu kamanda wa genge hilo katika jimbo hilo, linalo pakana na Marekani.

Taarifa kutoka kwa jeshi la Mexico zilisema kuwa alikamatwa baada ya gari lake kukataa kusimama kwenye kizuizi cha ukaguzi karibu na uwanja wa ndege wa Monterrey.

Chanzo: BBC
 
Huyo ndio dawa zake zinawakifikia akina Chid poda, Msepetu, Kiuno Bila mfupa, Top in Dar
 
baada ya trump kusema kuwa atajenga
ukuta ili kuzuia wahamiaji na walanguzi
wa madawa naona wanaanza kudeal nao
ili muheshimiwa trump aone japo huruma
ya kutojenga ukuta
 
baada ya trump kusema kuwa atajenga
ukuta ili kuzuia wahamiaji na walanguzi
wa madawa naona wanaanza kudeal nao
ili muheshimiwa trump aone japo huruma
ya kutojenga ukuta
Usilinganishe akili zako za kuvukia Barabara na za Mexico
 
Back
Top Bottom