Rais Kagame katupa taulo, shujaa wa Hotel Rwanda, Paul Rusesabagina kuachiliwa huru

HIMARS

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
69,364
94,544
Welcome today’s release of Paul Rusesabagina. Thankful to know Paul will be rejoining his family soon. Grateful to the Rwandan Government for making reunion possible. Also appreciate assistance by Government of Qatar.

Kazi kwenu

-----
Paul Rusesabagina aliingizwa kwenye 18 za mtu mrefu, kisiki cha mpingo, ngozi ngumu, asiyeambilika, dikteta Paulo Kagame.

Paul Rusesabagina (Aug 2020) kwenye safari ya mchongo kwenda Burundi katika ndege binafsi ya kukodi aliteremshwa kikuku, Kigali Rwanda bila kutegemea. Akashtakiwa ki Mbowe Mbowe na kukabidhiwa miaka 25 jela na kazi ngumu.

Ununda pori wa namna hii haukumezeka vyema na mabeberu. Ikumbukwe kutokana na masekeseke ya jirani zetu hawa, bwana Rusesabagina ana makazi yake ya kudumu USA. Yaani kwa lile beberu kweli kweli.

"Aungurumapo Simba mcheza nani?"

Ni Paulo na Rusesabagina, Museveni au Ruto na agenda zao uchwara?

Kigali kimeshaeleweka Rusesabagina leo ni mtu huru!

Shikamoo beberu. Kwa kuwakazia madikteta uchwara wa pande za kwetu unawapa wengine kutabasamu.

Source: Newtimes Rwanda

Rwanda.jpg
 
Nani alisema Magu baba lao? Thubutu! Kumbe beberu atakuwa nani basi?

IMG_20230325_103602.jpg

Duuu sijaelewa, why usingetoa taarifa vizuri bila kuharibu uzi namna hii

Sikuwa na namna. Wakongomani wameteseka mno na huyu mtu. Kwamba kaufyata ilibidi mkuu. Kwa hakika nisingeacha kumwangazia Mbowe na yule shujaa wako pia.

Zingatia paka ameufyata hata yule asingetoboa.
 
Beberu alishaanza kumgeuka pk kule drc taratibu kwa kuipa meno drc kupambana nae,mr slim kasoma alama za nyakati yasije kumkuta kama jonas savimbi ila it seem its too late ni jambo la muda tu beberu amuingize kwenye 18 zake
 
Sikuwa na namna. Wakongomani wameteseka mno na huyu mtu. Kwamba kaufyata ilibidi mkuu. Kwa hakika nisingeacha kumwangazia Mbowe na yule shujaa wako pia.

Zingatia paka ameufyata hata yule asingetoboa.
Hapana mkuu yule shujaa wa mchongo sio upande wangu unisingizie vitu vya ajabu vilivyowahi tokea huko nchini
 
Nilidhani ulikwazika na "Magu babalao?" Siyo wewe peke yako wako na wengine. Ila angalizo:

Huo ulikuwa wimbo tu na Magu siyo Magufuli.

Hiiiiiii bagosha!
 
Hapana mkuu nikwazike kisa nini maisha yenyewe mafupi haya, upendo na amani vitawale
 
Paka akikatiza 2025 sijui maana wanaomwombea mabaya wamezidi kuwa wengi

Asipokatiza wengi watafanya sherehe na laana itamfuata kama yule mwingine. Atapumzika vipi kwa amani?

Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Nani alisema Magu baba lao? Thubutu! Kumbe beberu atakuwa nani basi?

View attachment 2564672

Paul Rusesabagina aliingizwa kwenye 18 za mtu mrefu, kisiki cha mpingo, ngozi ngumu, asiyeambilika, dikteta Paulo Kagame.

Paul Rusesabagina (Aug 2020) kwenye safari ya mchongo kwenda Burundi katika ndege binafsi ya kukodi aliteremshwa kikuku, Kigali Rwanda bila kutegemea. Akashtakiwa ki Mbowe Mbowe na kukabidhiwa miaka 25 jela na kazi ngumu.

Ununda pori wa namna hii haukumezeka vyema na mabeberu. Ikumbukwe kutokana na masekeseke ya jirani zetu hawa, bwana Rusesabagina ana makazi yake ya kudumu USA. Yaani kwa lile beberu kweli kweli.

"Aungurumapo Simba mcheza nani?"

Ni Paulo na Rusesabagina, Museveni au Ruto na agenda zao uchwara?

Kigali kimeshaeleweka Rusesabagina leo ni mtu huru!

Shikamoo beberu. Kwa kuwakazia madikteta uchwara wa pande za kwetu unawapa wengine kutabasamu.

Source: Newtimes Rwanda
Ungekuwa mwanamke mpaka Sasa hukosi watoto wa nne baba tofauti,

Una wenge sana
 
safi sana ameachiwa. Pongezi kwa US.
huyu mzee walimdhamiria mabaya, maana alichukua flight kutokea Dubai au Qatar safari yake akiwa anakwenda kwenye kongamano la kidini Burundi badala yake waka-divert flight ikatua Rwanda ndio akakamatwa.
 
Ungekuwa mwanamke mpaka Sasa hukosi watoto wa nne baba tofauti,

Una wenge sana

Kwa sababu wewe ni mwanamke mpaka sasa unao wangapi wa baba wangapi tofauti wakiwamo wa punda ndugu?

Mwongozo wako tafadhali.

Una wenge sana tena lililopitiliza!

Angalizo: jifunze kuheshimu jinsia za watu. Wanawake ni watu pia.
 
Back
Top Bottom