Elections 2010 Mlaki: Madai ya Dr. Slaa yasipuuzwe hata kidogo....................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
Tanzania Daima yaripoti ya kuwa Mbunge wa zamani wa CCM Rita Mlaki ameitaka serikali ya chama chake kutoyapuuza madai ya Dr. Slaa kwa kuyafanyia kazi na kuyapatia ufumbuzi haraka iwezekanavyo................la ajabu JK hakuzungumzia hata chembe malalamiko ya Dr. Slaa kwenye halfa iliyoandaliwa na NEC yake mwenyewe JK ambayo ndiyo iliyomtawaza kibabe kuwa Raisi wetu kwa miaka mitano ijayo.........................
 
Mkuu rekebisha habari hiyo hapo juu. Aliyeongea na Gazeti la Tanzania Daima ni Nathaniel Mlaki na siyo Rita Mlaki. Angalia usije ukasababisha huyo mama wakamnyima nafasi ya viti maalum.
 
Mkuu rekebisha habari hiyo hapo juu. Aliyeongea na Gazeti la Tanzania Daima ni Nathaniel Mlaki na siyo Rita Mlaki. Angalia usije ukasababisha huyo mama wakamnyima nafasi ya viti maalum.
Sue Mkuu!
Rita anaweza kustushwa sana na habari hii.
 
hawana akili, hawawezi kutusikiliza chao muhimu ni madaraka sio malalamiko ya wananchi, au wagombea.walichokitaka wamekipata kinachofuata ni kutusahau kwa miaka mitano mingine mimi ninachojitahidi ni kupiga kampeni japo watu 5000 niwashawishi waioipa CCM wasiipe mwk 2015
 
Back
Top Bottom