Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,180
Tanzania Daima yaripoti ya kuwa Mbunge wa zamani wa CCM Rita Mlaki ameitaka serikali ya chama chake kutoyapuuza madai ya Dr. Slaa kwa kuyafanyia kazi na kuyapatia ufumbuzi haraka iwezekanavyo................la ajabu JK hakuzungumzia hata chembe malalamiko ya Dr. Slaa kwenye halfa iliyoandaliwa na NEC yake mwenyewe JK ambayo ndiyo iliyomtawaza kibabe kuwa Raisi wetu kwa miaka mitano ijayo.........................