singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
ha ha haaaaa, vipi zile ndoo walizobeba kwa bwembwe wataziacha? hata hivyo bado bado wacha wasote sote kidogo ili wajue kuwa serikali ya awamu ya tano haina mchezo kubebana hamna.
Hao siyo madalali ni wizi eleza walichofanya wakati wapo Stanbic Bank.Madalali wapo ndani lakini mtoa rushwa (standard bank) na mpokeaji ( ******) bado wanatesa mtaani.only in tz.NA WEWE MLETA BADA ULICHOONA NI NDOO TU?
Bado maumviHao siyo madalali ni wizi eleza walichofanya wakati wapo Stanbic Bank.
Hii kesi utaenda na wengi.
hapa kuna falsafa ya aliyekamatwa na ngozi ndiye mwizi.Ile kesi ni nzito sana! Waliotoa na kupokea wako wapi? Wale ni madalali wa hati fungani ile! Tunasubiri waongezwe kwenye ile kesi!
mungu yupi? Wa wezi ama wa mafisadi?Mungu awasaidie
... akiwemo mfalme mstaafuHii kesi itaenda na wengi.
Hamna kesi pale si unaona mahakama inavyohangaika saiv wanatumia nguvu sio sheria ili kumfurahisha magu mana kipengele kimoja cha utakatishaji pesa kishaondolwa na ndio msingi wa kes wamebaki kuokoteza makosa kifupi washawashinda ni muda tu ndo tatizo la kukurupuka
ha ha haaaaa, vipi zile ndoo walizobeba kwa bwembwe wataziacha? hata hivyo bado bado wacha wasote sote kidogo ili wajue kuwa serikali ya awamu ya tano haina mchezo kubebana hamna.
Nasubiri hao wengi waunganishwe kwenye kesi, la sivyo bado ni uonevu na dhulmaHao siyo madalali ni wizi eleza walichofanya wakati wapo Stanbic Bank.
Hii kesi itaenda na wengi.
Naona unaona unajifariji na kujiliwaza.Hamna kesi pale si unaona mahakama inavyohangaika saiv wanatumia nguvu sio sheria ili kumfurahisha magu mana kipengele kimoja cha utakatishaji pesa kishaondolwa na ndio msingi wa kes wamebaki kuokoteza makosa kifupi washawashinda ni muda tu ndo tatizo la kukurupuka
Naona unaona unajifariji na kujiliwaza.
Basi hakuna mtu wa kushitakiwa maana ngozi haipo popote! Madalali walipeleka docs pande zote mbili na kuacha mchakato uendelee wao wakiwa pembeni.......ngozi haipo hapo!!hapa kuna falsafa ya aliyekamatwa na ngozi ndiye mwizi.