Mkwese sekondari......(msiba wa mzee mghuyaa) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkwese sekondari......(msiba wa mzee mghuyaa)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mahesabu, Dec 28, 2010.

 1. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,042
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Kwa wale waliosoma MKWESE SEKONDARI.....nimepata taarifa za msiba wa MZEE MGHUYAA uliotokea siku ya KRISMAS
  Mzee wetu alikuwa ni mtumishi wa shule hii kwa kipindi kirefu....wengi tuliopita pale tunamkumbuka kwa moyo wake wa ukarimu na ucheshi.....! mwingi wa utani na kufanya boarding life iwe easy......!
  REMEMBER YOU MZEE MGHUYAA.....!
   
Loading...