Mkwawa hakujipiga risasi kama wajerumani walivyotusimulia, bali aliliwa na simba..

Leo nilikua kwenye ofisi flan..nilipaata wasaa wa kuona typewritter ya zamani sn nilituliza bongo yangu na kuangalia kwa makini jinsi gan binadamu Mungu alivyo mpa akili..nikichunguza naona waya nyingi lkn kila uki chapa ni waya mmoja unaenda gonga wino karatasi linasogea..
Ila mimi ni muumini waafrica kwa mwasisi Walter Rodney..lkn hawa white people they are smart..we africa thinking about Sex tu all the time..bongo zetu zina spendi kwenye kukata viunoo. Mara sijui Nandi ooh Gwajima ooh that is non sense..kizazi cha kina Chief Mkwawa chenyewe alinufaika kwa kuuza wafrica utumwani kwa waarabu katili.sisi tujitafakali sn wenzetu mda mwingi wanatumia bongo za kufikili ni jinsi gani watatengeneza machine ama mitambo ambayo ita saidia kuongeza kipato production kama kilimo uvuvi..
sasa mpaka sasa yote kumi mblack apate uongozi..just emergine toka tumepata uhuru kuna mapya...tunachukiana hatuaminiani..tabaka la wa babe na wanyonge lina achana saanaa
Well said mkuu!!!
 
Sijui kwenye hicho kitabu utakuwa umeandika nini. Ikiwa hapa tu hujaweza kuwa na mtiririko unaoeleweka. Jifunze kuandika kwa mtitiro mzuri na husisha mada na heading. Umeandika habari ya mkwawa mara kuanzishwa AA na TAA. hueleweki hata ulichotaka kusema.

Huwezi ukawa na akili timamu ukaja hapa ukasema mkwawa aliliwa na simba ukaweka nukta. Ukategemea wenye akili wakuunge mkono. Na mimi nikiandika kuwa mkwawa hakufa mpaka leo yupo wazungu walimficha.mwishowe tutakuwa wapumbavh wengu tunaandika andika hisia zetu.
 
Sijui kawaza nini aisee..

Yani bado namtafakari. Hata kama nk kuattract viewers si kwa heading hiyo.

Kwahiyo lile fuvu makumbusho ya Kalenga ni fake.
Sijawahi shuhudia distortion kama hii.
 
Umejuaje kama alikufa kwa kuliwa na simba,una ushahidi gani wa kuthibitisha hilo mkuu?
 
Wazungu Washenzi Sana wanapotosha sana historia ya mtu mweusi......Baada ya kusikia binadamu wa kwanza alitokea Africa wakazusha eti alikuwa nyani.
Halafu wakaleta kitabu kinasema Mungu aliumba mtu lakini mweupe mke na mume, wakazaa baadae mmoja wa watoto akalaaniwa akawa mweusi baada ya kuona utupu wa baba yake.
 
Fundishen vijana kutafta pesa. Wapen vijana elimu ya pesa iwasaidie kutatua changamoto zao za kila siku.
Hizo historia zenu zinawasaidia nn masikini ambao hata pesa ya kula ni changamoto??
Baba alikuwaga tajiri sana
Huku ww unalalia ngozi
 
Mimi huwa naangalia ile chanel ya Tanzania Safari , huwa wanatoa historia ya Mkwawa. Na kwenye Museum pale Iringa lipo fuvu la Chief Mkwawa , ni kweli ukiliangalia vizuri utagundua kuna sehemu kuna katundu au kaufa fulani hivi ambacho wanasema ile ni risasi aloyojipiga kichwani baada ya kuona anazidiwa. Wanasema alimwambia askari wake mmoja ampige risasi afe kuliko auawe na wajerumani lakini yule mwamba alikataa. Ndipo alipojilipua mwenyewe. Ni kahistoria fulani hivi very interested
 
Ukinijibu swali hili vizuri nitanunua kitabu chako.
Je, ngumi aliyetandikwa mzee ilimpinduaje toka kwenye kiti?
Je, mbona mpinduaji hakuwa mwenyekiti bali alikuwa katibu baadaye ?
Mzee alikufa kwa ile ngumi ya kijana machachari?
 
haya ndio mambo yanafanya watu wakimaliza elimu zao washindwe kupambana kwenye soko la ajira la kimataifa..

hivi kwa dunia ya sasa unang'ang'ania kumfundisha mtu jinsi mkwawa alivyokufa itamsaidia nini

upuuzi mtupu....
 
Fundishen vijana kutafta pesa. Wapen vijana elimu ya pesa iwasaidie kutatua changamoto zao za kila siku.
Hizo historia zenu zinawasaidia nn masikini ambao hata pesa ya kula ni changamoto??
mzee ukipata pesa bila kujua historia ndo utakuja uza nchi kwa vipande vya shaba au ela yote ukataka wekeza nje ya nchi
 
haya ndio mambo yanafanya watu wakimaliza elimu zao washindwe kupambana kwenye soko la ajira la kimataifa..

hivi kwa dunia ya sasa unang'ang'ania kumfundisha mtu jinsi mkwawa alivyokufa itamsaidia nini

upuuzi mtupu....
na hapo ukute unamjua vizuri george washington kuliko Mtwa mkwawa au kinjeketile ngwale...nchi isiyojua historia ni kama nyumba yenye msingi wa matope..hawezi simama...wenzetu wanafanya culture and tradition importation unajikuta unayaishi maisha yao na kutumia bidhaa zao
 
Sijui kwenye hicho kitabu utakuwa umeandika nini. Ikiwa hapa tu hujaweza kuwa na mtiririko unaoeleweka. Jifunze kuandika kwa mtitiro mzuri na husisha mada na heading. Umeandika habari ya mkwawa mara kuanzishwa AA na TAA. hueleweki hata ulichotaka kusema.

Huwezi ukawa na akili timamu ukaja hapa ukasema mkwawa aliliwa na simba ukaweka nukta. Ukategemea wenye akili wakuunge mkono. Na mimi nikiandika kuwa mkwawa hakufa mpaka leo yupo wazungu walimficha.mwishowe tutakuwa wapumbavh wengu tunaandika andika hisia zetu.
Lengo lake lilikuwa awachokoze CCM tu!
 
Back
Top Bottom