Well said mkuu!!!Leo nilikua kwenye ofisi flan..nilipaata wasaa wa kuona typewritter ya zamani sn nilituliza bongo yangu na kuangalia kwa makini jinsi gan binadamu Mungu alivyo mpa akili..nikichunguza naona waya nyingi lkn kila uki chapa ni waya mmoja unaenda gonga wino karatasi linasogea..
Ila mimi ni muumini waafrica kwa mwasisi Walter Rodney..lkn hawa white people they are smart..we africa thinking about Sex tu all the time..bongo zetu zina spendi kwenye kukata viunoo. Mara sijui Nandi ooh Gwajima ooh that is non sense..kizazi cha kina Chief Mkwawa chenyewe alinufaika kwa kuuza wafrica utumwani kwa waarabu katili.sisi tujitafakali sn wenzetu mda mwingi wanatumia bongo za kufikili ni jinsi gani watatengeneza machine ama mitambo ambayo ita saidia kuongeza kipato production kama kilimo uvuvi..
sasa mpaka sasa yote kumi mblack apate uongozi..just emergine toka tumepata uhuru kuna mapya...tunachukiana hatuaminiani..tabaka la wa babe na wanyonge lina achana saanaa