Mkwasi Rostam na Vodacom

Kapinga

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
727
13
Vodacom's elite network
Stefaans Brümmer
15 April 2007 11:59
Vodacom's connectivity -- the cellphone group's habit of choosing politicians and their friends as business partners -- extends to two more of its operations on the continent.

The Mail & Guardian reported a fortnight ago that Mozambican President Armando Guebuza had become a shareholder in Vodacom Mozambique. Earlier Mozambican investors are led by a prominent ruling party MP and include a ruling party business vehicle and individuals associated with Guebuza's predecessor, Joaquim Chissano.

Vodacom defended its choice of partners, saying that in Africa it was "the norm" to have participation by "governments, parastatal bodies, public investment institutions, political parties, trade unions, empowerment groupings and government officials".

Judith February of the Institute for Democracy in South Africa this week said it was important that local companies developed good corporate values locally and then stuck to them when they did business abroad. "As South African companies, what kind of standards are we trying to set?"

Vodacom also has operations in Lesotho, Tanzania and the Democratic Republic of Congo (DRC).

In Lesotho, Vodacom's 11,7% partner, the Sekha-Metsi Investment Consortium, was selected by the government. But in Tanzania and the DRC, Vodacom made its own choices.

Vodacom Tanzania was licensed in December 1999, with its local partners Planetel Communications and Caspian Construction holding 36% and 10% respectively. Planetel's stake has since decreased to 16%, while Caspian's has increased to 19%.

Caspian's shareholder representative on the Vodacom Tanzania board is businessman-politician Rostam Aziz, a close associate of President Jakaya Kikwete. At the time Vodacom entered Tanzania, neither man was quite as powerful as now -- Kikwete was foreign minister and Aziz had yet to occupy a formal position in national politics.

But they proved a good bet: In 2005 Kikwete, supported and funded by Aziz as his campaign manager, succeeded Benjamin Mkapa as president, and Aziz was elected to Parliament. Last year, when Kikwete also took over the chair of the ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM), from Mkapa, Aziz became the party's treasurer.

Vodacom Tanzania had, however, spread its political bets. The CCM's Pius Msekwa was both Vodacom Tanzania's non-executive chair and Speaker of Parliament between 2003 and 2005. When Vodacom hosted a "VIP gala dinner" to bid farewell to outgoing president Mkapa in December 2005, Msekwa attended, presumably in both capacities.

Vodacom Group said in a statement this week that Aziz's participation in Vodacom Tanzania was "lawful", but added that "governance risks have to be carefully managed, particularly if they increase over time as a business partner, shareholder representative or director takes on an increasingly active role in politics".

About Msekwa, it said that the appointment of Vodacom Tanzania's chair was the prerogative of Vodacom's Tanzanian partners, but conceded: "It is correct to note that having a Speaker of Parliament as a chairman presents a significant degree of governance risk, and Vodacom would very likely counsel or decide against such an appointment in future."

Vodacom set up shop in the DRC late in 2001, when Vodacom International went into a 51%-49% partnership with Congolese Wireless Network (CWN), which had obtained a network licence in 1999 from the government of then-president Laurent Kabila.

Although CWN is headed by businessman Alieu Conteh, its partners, say two sources acquainted with Vodacom's dealings in the DRC, include Didier Kazadi Nyembwe, who in 2001 and 2002 headed the DRC's national intelligence agency.

Kazadi was one of Laurent Kabila's closest associates -- he reportedly helped raise his children, including Joseph Kabila, the current president.

It appears likely that Kazadi's relationship with Laurent Kabila helped CWN land the licence in the first place.

Reuters reported after Vodacom Congo started operations: "The late Laurent Kabila handed out licences widely as political favours when he was DRC President, say analysts. [Then Vodacom International MD Andrew] Mthembu had to spend six months checking that Vodacom Congo had a national licence, that there would be no interference in its spectrum and that this would not be challenged by other operators."

No sooner had Vodacom and CWN joined up, however, than Kazadi got into trouble. A United Nations-appointed panel examining the illegal exploitation of the DRC's natural resources named him in October 2002 as a member of the "elite networks" profiteering from his country's civil war.

After the release of this report Joseph Kabila, who succeeded his father after he was assassinated in January 2001, relieved Kazadi of his duties at the intelligence agency. But, behind the scenes, Kazadi remained an influential figure.

Vodacom Group said in its statement this week that to the best of its knowledge Kazadi "is a business associate, but not a shareholder, of CWN". It referred queries to CWN.

CWN's Conteh did not return calls.

Back to Tanzania Agents wake
Planetel (Kigogo BOT)
Alphatel (Lowassa)
Shivacom (Baniani wa Radar (Somaiya))
 
Ni Maendelo Tu Ya Technologia Ya Mawasiliano Ya Simu Za Kiganjani....lazima Ifike Muda Na Wakati Twende Mbio Kama Global Village [perticipants Na Principle Zake.......
 
Uzalendo ktk tanzania bado ni ndoto.

Nakumbuka ni juzi juzi tu(September, 2007), South AFrica kulikuwa na discussion, walitaka kubinafsisha telecom south Africa. Kati ya makampuni yaliyotaka hiyo ofa ni pamoja na Vodacom na MTN zote za south Africa.

Katika discussion ilionekana wa south Africa waliprefer MTN rather than Vodacom. Na sababu mojawapo ilikuwa kwamba MTN ina local components nyingi na Vodacom basically in Multi-national Companies.

Kwa hiyo ukiangalia hapa, wakati mwingine kunatakiwa kuangalia National Interest(Uzalendo). Ambapo tanzania ya sasa hakuna kitu kama hicho. Tanzania Kuna Leadership/Directors/Chief Secretaries and General viongozi Interest.

Lakini ambacho mpaka sasa huwa najiuliza kwa nini Planetel pamoja na kwamba ndiyo imecontribute sana kuleta Vodacom(T) inaonekana kusua sua wakati Caspian inanenepa?
 
Yani unasema umeshindwa kuona kwamba hizo shares za planetel got sold off to Caspian??
 
There is nothing wrong for a South Africa corporation to provides telecommunication services in Tanzania. However, i have more concern about government leaders holding solid positions in these organizations. I wondered about conflict of interest? How can we provides check and balance if some of out top leaders has important roles in these organizations?
 
Uzalendo ktk tanzania bado ni ndoto.

Nakumbuka ni juzi juzi tu(September, 2007), South AFrica kulikuwa na discussion, walitaka kubinafsisha telecom south Africa. Kati ya makampuni yaliyotaka hiyo ofa ni pamoja na Vodacom na MTN zote za south Africa.

Katika discussion ilionekana wa south Africa waliprefer MTN rather than Vodacom. Na sababu mojawapo ilikuwa kwamba MTN ina local components nyingi na Vodacom basically in Multi-national Companies.

Kwa hiyo ukiangalia hapa, wakati mwingine kunatakiwa kuangalia National Interest(Uzalendo). Ambapo tanzania ya sasa hakuna kitu kama hicho. Tanzania Kuna Leadership/Directors/Chief Secretaries and General viongozi Interest.

Lakini ambacho mpaka sasa huwa najiuliza kwa nini Planetel pamoja na kwamba ndiyo imecontribute sana kuleta Vodacom(T) inaonekana kusua sua wakati Caspian inanenepa?

Sasa Kakindo maswali gani tena haya??? wewe unaona Caspian (kulingana na article) inamilikiwa na Rostam Aziz ambaye ni close friend wa rais wetu, ni MP na pia alipata kuwa CCM treasurer.

Tungepata kujua ni lini hizo nyongeza za shareholding zimefanyika tungepata picha nzuri zaidi. Je, was it before 2005 elections or after???
 
Ok sasa nimeelewa wakuu, may be inawezekana kuna EPA ndani yake.
 
ndg Kapinga,
Kama ni kweli Vodacom ilifuatwa na watu wa Mobipawa washirikiane wakakata na wao wakaamua kutafuta solution ntingine ya M-PESA,ni jambo lililopitwa na wakati hasa kama kumekuja suala la kuwaamini wakenya kuliko Watanzania ambao ni wazalendo.

Kwa kuanzia nitaanza kufuatilia nani aliyeshinikiza Mobipawa wasipewe nafasi hiyo VODACOM na kupewa watu wa Kenya.

Sual hili linahusu pesa na kwa njiamoja litakuwa limeanzania BOT saabu wao ndio wanaotoa Leseni za biasha yoyote inayohusu PESA.Speculation zangu ni kwamba.Kwa kuwa VODACOM inaongozwa Mkurugenzi wa Masoko ambaye ni Mkenya basi nadhani yeye ndiye aliyeshinikiza na kumpa Mafuru aizungumzie tu.

Hapa ili kubana zaidi,hivi ile sheria ya Kampuni za Nje kuajiri wataalam kutoika Nje inaishia NBC tu na NMB??Je kwa Mashirika Binafsi hauingii???

Mtu Muhimu wa kuelezea hili ni Samwel Muro ambaye ni Manager -Software Developement.Nimesikitika sana na kuhudhunishwa sana na kampuni hizi ambazo zinazalowa zalendo.

Kimsingi huduma ya KUhamisha kwa Pesa ilianzia Nchini Ufilipino,tena Vijijini,kuwasaidia wananchi walioko vijijini kutumiana pesa na nakumbuka kipindi wanaanza walishawahi kupewa Tuzo na IFM (Kampuni iliyoanzisha huduma hii) kwa Ubunifi.

CHa Msingi nawashauri Mobipawa waungane na Mobile Giant Zantel ili na nyie mtoe huduma kama hii.
 
Back to Tanzania Agents wake
Planetel (Kigogo BOT)
Alphatel (Lowassa)
Shivacom (Baniani wa Radar (Somaiya))
Panetel IS OWNED BY Mzee Noni.Director of Planning and Investment-BOT
Alphatel IS OWNED BY the Member of Parliament -Lowassa
Shivacom IS OWNED BY somaiya Group

Hata hiyo Mobipawa ina wahindi na watanzania na mmojawapo ni somebody Sillaa,Kuna msemo huwa
 
ndg Kapinga,
Kama ni kweli Vodacom ilifuatwa na watu wa Mobipawa washirikiane wakakata na wao wakaamua kutafuta solution ntingine ya M-PESA,ni jambo lililopitwa na wakati hasa kama kumekuja suala la kuwaamini wakenya kuliko Watanzania ambao ni wazalendo.

Kwa kuanzia nitaanza kufuatilia nani aliyeshinikiza Mobipawa wasipewe nafasi hiyo VODACOM na kupewa watu wa Kenya.

Sual hili linahusu pesa na kwa njiamoja litakuwa limeanzania BOT saabu wao ndio wanaotoa Leseni za biasha yoyote inayohusu PESA.Speculation zangu ni kwamba.Kwa kuwa VODACOM inaongozwa Mkurugenzi wa Masoko ambaye ni Mkenya basi nadhani yeye ndiye aliyeshinikiza na kumpa Mafuru aizungumzie tu.

Hapa ili kubana zaidi,hivi ile sheria ya Kampuni za Nje kuajiri wataalam kutoika Nje inaishia NBC tu na NMB??Je kwa Mashirika Binafsi hauingii???

Mtu Muhimu wa kuelezea hili ni Samwel Muro ambaye ni Manager -Software Developement.Nimesikitika sana na kuhudhunishwa sana na kampuni hizi ambazo zinazalowa zalendo.

Kimsingi huduma ya KUhamisha kwa Pesa ilianzia Nchini Ufilipino,tena Vijijini,kuwasaidia wananchi walioko vijijini kutumiana pesa na nakumbuka kipindi wanaanza walishawahi kupewa Tuzo na IFM (Kampuni iliyoanzisha huduma hii) kwa Ubunifi.

CHa Msingi nawashauri Mobipawa waungane na Mobile Giant Zantel ili na nyie mtoe huduma kama hii.

Mobipawa tayari wapo ubia (au mazungumzo)na zantel nadhani..wao wameopen door to all cellphone companies to come onboard coz thats how all tanzanians will get the service..lakini voda kwa ulafi wameona waende solo!! Basi sijajua msimamo wa TIGO, TTCL na CELTEL kwenye hii issue ya mobile banking..lakini hawa wa sauzzz wananuka rushwa from the shareholding to the way they do business in Tanzania!!
 
Vodacom's elite network
Stefaans Brümmer
15 April 2007 11:59
Vodacom’s connectivity -- the cellphone group’s habit of choosing politicians and their friends as business partners -- extends to two more of its operations on the continent.

The Mail & Guardian reported a fortnight ago that Mozambican President Armando Guebuza had become a shareholder in Vodacom Mozambique. Earlier Mozambican investors are led by a prominent ruling party MP and include a ruling party business vehicle and individuals associated with Guebuza’s predecessor, Joaquim Chissano.

Vodacom defended its choice of partners, saying that in Africa it was “the norm” to have participation by “governments, parastatal bodies, public investment institutions, political parties, trade unions, empowerment groupings and government officials”.

Judith February of the Institute for Democracy in South Africa this week said it was important that local companies developed good corporate values locally and then stuck to them when they did business abroad. “As South African companies, what kind of standards are we trying to set?”

Vodacom also has operations in Lesotho, Tanzania and the Democratic Republic of Congo (DRC).

In Lesotho, Vodacom’s 11,7% partner, the Sekha-Metsi Investment Consortium, was selected by the government. But in Tanzania and the DRC, Vodacom made its own choices.

Vodacom Tanzania was licensed in December 1999, with its local partners Planetel Communications and Caspian Construction holding 36% and 10% respectively. Planetel’s stake has since decreased to 16%, while Caspian’s has increased to 19%.

Caspian’s shareholder representative on the Vodacom Tanzania board is businessman-politician Rostam Aziz, a close associate of President Jakaya Kikwete. At the time Vodacom entered Tanzania, neither man was quite as powerful as now -- Kikwete was foreign minister and Aziz had yet to occupy a formal position in national politics.

But they proved a good bet: In 2005 Kikwete, supported and funded by Aziz as his campaign manager, succeeded Benjamin Mkapa as president, and Aziz was elected to Parliament. Last year, when Kikwete also took over the chair of the ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM), from Mkapa, Aziz became the party’s treasurer.

Vodacom Tanzania had, however, spread its political bets. The CCM’s Pius Msekwa was both Vodacom Tanzania’s non-executive chair and Speaker of Parliament between 2003 and 2005. When Vodacom hosted a “VIP gala dinner” to bid farewell to outgoing president Mkapa in December 2005, Msekwa attended, presumably in both capacities.

Vodacom Group said in a statement this week that Aziz’s participation in Vodacom Tanzania was “lawful”, but added that “governance risks have to be carefully managed, particularly if they increase over time as a business partner, shareholder representative or director takes on an increasingly active role in politics”.

About Msekwa, it said that the appointment of Vodacom Tanzania’s chair was the prerogative of Vodacom’s Tanzanian partners, but conceded: “It is correct to note that having a Speaker of Parliament as a chairman presents a significant degree of governance risk, and Vodacom would very likely counsel or decide against such an appointment in future.”

Vodacom set up shop in the DRC late in 2001, when Vodacom International went into a 51%-49% partnership with Congolese Wireless Network (CWN), which had obtained a network licence in 1999 from the government of then-president Laurent Kabila.

Although CWN is headed by businessman Alieu Conteh, its partners, say two sources acquainted with Vodacom’s dealings in the DRC, include Didier Kazadi Nyembwe, who in 2001 and 2002 headed the DRC’s national intelligence agency.

Kazadi was one of Laurent Kabila’s closest associates -- he reportedly helped raise his children, including Joseph Kabila, the current president.

It appears likely that Kazadi’s relationship with Laurent Kabila helped CWN land the licence in the first place.

Reuters reported after Vodacom Congo started operations: “The late Laurent Kabila handed out licences widely as political favours when he was DRC President, say analysts. [Then Vodacom International MD Andrew] Mthembu had to spend six months checking that Vodacom Congo had a national licence, that there would be no interference in its spectrum and that this would not be challenged by other operators.”

No sooner had Vodacom and CWN joined up, however, than Kazadi got into trouble. A United Nations-appointed panel examining the illegal exploitation of the DRC’s natural resources named him in October 2002 as a member of the “elite networks” profiteering from his country’s civil war.

After the release of this report Joseph Kabila, who succeeded his father after he was assassinated in January 2001, relieved Kazadi of his duties at the intelligence agency. But, behind the scenes, Kazadi remained an influential figure.

Vodacom Group said in its statement this week that to the best of its knowledge Kazadi “is a business associate, but not a shareholder, of CWN”. It referred queries to CWN.

CWN’s Conteh did not return calls.

Back to Tanzania Agents wake
Planetel (Kigogo BOT)
Alphatel (Lowassa)
Shivacom (Baniani wa Radar (Somaiya))

Kwanza i would like to congratulate them for being the biggest cellphone network in Tanzania. But with all your earnings is Tanzania really benefiting or are the chosen few at the top??
Lets look at Safaricom (ingawa nao wanascandal ya kutotaja local shareholders!!) and how the local kenyan benefits..from the agents to the shares being sold to the public!! Je voda wanaweza fanya hilo??

Kwa maoni yangu nadhani Watanzania tuanze kuwa makini na haya makampuni makubwa yanayokuja nchini ndio yanaleta ajira but lets look at the long run! Jana tumeona wameleta M-pesa which is a great service in terms of banking and the many tanzanians with no bank accounts will benefit.. but kuna kampuni ya kitanzania fully tanzanian owned ilianzishwa mwaka jana www.mobipawa.co.tz wako katika mikakati ya kuprovide the same service na waliptich idea to vodacom mara nyingi tuu wakatupwa (je ingekuwa ya kigogo wangetupwa??)
Anyway we live in a competitive world so lets see what will unfold or wether these young tanzanians will have to close up shop!!
WanaJF the floor is open..mnalionaje hili?

Tanzania Nchi yangu weeeeeeeeeeee nakulilia wajanja wanakumaliza .Slowly kila kitakuja nje hizi ni zama tofauti sana .
 
Mobipawa tayari wapo ubia (au mazungumzo)na zantel nadhani..wao wameopen door to all cellphone companies to come onboard coz thats how all tanzanians will get the service..lakini voda kwa ulafi wameona waende solo!! Basi sijajua msimamo wa TIGO, TTCL na CELTEL kwenye hii issue ya mobile banking..lakini hawa wa sauzzz wananuka rushwa from the shareholding to the way they do business in Tanzania!!

Kesho nitatia timu Vodacom kwenda kuzungumza na Mkuu wa idara ya kununua software wa Vodacom ili anielezee.Hapa kutakuwa na 10% nadhani..nitawaletea habari kamili kesho.

Wana bodi,ukiangali hiyo habai hapo juu,though ni ya mwaka jana unaweza kutambua ya kwamba viongozi wengi wa usalama wa taifa wamekuwa wakitumia nafasi zao kufanya ufisadi na kujitajilisha,Hili nadhani ni la kulipiga vita san na nadhani kuna haja ya kubadili TISS Act ya 1996 ili kuweza kuwabana.

Mwanakijiji naomba unitumie Civil Service Act,1989 katika E_mail yangu mkomboziufisadi-at-yahoo-dot-co-dot-uk!

powa tutasubiri insider info tuone hili swala likoje!
 
Mkuu any progress!!?
 
Carl, Rostam, Vodacom na Sullivan Summit:

Carl Masters, yule Mwenyekiti Mwenza wa Sullivan Summit ameshatua nyumbani. Jana alikutana nasi katika press conference. Katika Mkutano huo vodacom ilitangazwa rasmi kuwa mdhamini wa mawasiliano katika mkutano wote. Akizungumzia udhamini huo, Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Vodacom alisema kwamba kampuni yao inajisikia furaha kwa kuwa lengo lao wakati wote limekuwa kuhakikisha watanzania wote wananufaika na huduma zao bora na za gharama nafuu. Leo, nimewasili hapa Arusha kwa ajili ya Mkutano. Kwenye orodha ya washiriki maalumu yupo pia mtanzania mwekezaji Bwana Rostam Aziz kama shareholder wa Vodacom ambayo imeadhamini mkutano mzima.

Bado namtafuta Bwana Carl kujua nimuulize ukweli wa madai kwamba kampuni yake ya Goodworks International inatumia kivuli za Sullivan summit kuingia mikataba ya kifisadi kwenye sekta za madini na mafuta. Nitamuuliza pia Carl kama kazi yao haifanani na ile ya Karl Peters wakati wa mkutano wa Berlin.

Lakini kwa ujumla wawekezeji hapa wako wengi na inaelekea sasa ni wakati ajira milioni moja kutengenezwa na Rais Jakaya Kikwete.

Kwingineko nchini magazeti sasa yanapambwa kila mahali na makala za kusifia mkutano huo kama mwarobaini wa matatizo ya uwekezaji nchini Tanzania.

Nitaendelea kuwajulisha kadiri mambo yanavyoendelea

PM
 
This is what I am talking about..

Wakati mwingine wewe PM huwa una nyeti nzuri hasa unapoacha ugomvi wako usiokwisha na Mnyika. Huyu Carl ni bonge la fisadi na mimi nasubiria tu kuona unafiki utakaowekwa hapo ili niwaumbue wahusika mmoja baada ya mwingine.

Endelea kutafuta habari... niko nawe kwenye hili.
 
Mnyika ni dogo sana kwangu. Nitamtafuta pia Afisa Mahusiano wa Vodacom Bi Mwamvita Makamba atueleze malengo ya Vodacom kuwekeza katika mkutano huo na kumtuma mmoja wa wamiliki bwana Rostam Aziz. Pengine kuna fursa za sekta ya mawasiliano ambazo Rais Jakaya Kikwete ameziona

PM
 
Mwisho wa yote nitauliza yafuatayo kwa mpigo .Je maada mkutano Tanzania itakuwa imepata faida gani ? Wangapi wana enda Mbugani kutuachia pesa kidogo ama ZNZ ? Ule ujio wa Bush ume create ajira ngapi na kama bado lini faida za Bush kuwa Tanzania ambazo tulitangaziwa kwa lazima zitaanza kuonekana ?
 
Iulizwe wizara ya utalii na ile ya viwanda na biashara, kwa nini imepeleka vendors ktk mkutano badala ya wajasiriamali??
mwenye akili afahamu
 
naomba na mimi kuuliza niliwahi kuambiwa nikiwa nje ya tz, kuwa shareholder wakubwa wa vodacom ni lowasa na rostam azizi, na eti rostam yeye ana hisa nyingi kupitia caspian construction na bwana lowasa sijui alphatel, na hata ile bilioni moja waliotoa vodacom kama msaada wakati wa ile njaa ya kuundwana loasa zilitoka kama geresha!
tupashane, kama hili kampuni ni la kifisadi tuanze nalo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom