Mkwara? Urusi wajaribu kombora jipya, Putin asema linaweza kufika popote duniani

Kama us walikuwa na bomu kama lililotestiwa Russia tangu 1945 kwanini mabom ya Hiroshima na Nagasaki yalisombelewa na bombers? Kwanini hawakuyafyatua yaende yenywe bila kubebwa? Inaonekana hujui lolote
 
Hilo ndo Satan version 2.
Hilo dude liko na tani 200.

Sawa na uzito wa semitrail kama kumi hivi,
sasa cha ajabu na uzito wote huo ,hilo likitu ni supersonic lakini kichwa kikijiachia huku juu kinaenda kwa speed ya hypesonic mach 20.
Hakuna kitu inaweza kamata hiyo
 
Pew Research Center kupitia utafiti wake wa mwaka 2015 inaonyesha uungwaji wa siasa za Russia kimataifa kama hivi ;
  • Vietnam - 75%
  • Ghana - 56%
  • China - 51%
  • South Korea - 46%
  • Lebanon - 44%
  • Philippines - 44%
  • India - 43%
  • Nigeria - 39%
  • Tanzania - 38%
  • Ethiopia - 37%
  • Uganda - 37%
Uungaji mkono wa Wananchi wa Russia wenyewe ni 92%.
Na nchi kumi ambazo zina msimamo mdogo kwenye kuziunga mkono siasa za Russia kimataifa ni ;-
  • Pakistan - 12%
  • Turkey - 15%
  • Poland - 15%
  • United Kingdom - 18%
  • Jordan - 18%
  • Ukraine - 21%
  • Japan - 21%
  • United States - 22%
  • Mexico - 24%
  • Australia - 24%
Cc: Malcom Lumumba
Aisee! Walalahoi kibao wako nyuma ya Mrusi
 
On a recent phone call between the two leaders, which made headlines for Trump's decision to congratulate Putinon his less-than-democratic reelection, Trump and Putin reportedly butted heads.

"If you want to have an arms race, we can do that, but I'll win," Trump told him, according to NBC.
NBC ?? fake news media ??
Ni lini wameongea kitu kizuri kuhusu trump.
 
Back
Top Bottom