Ndugu wananchi
Ninao mtazamo binafsi katika jambo hili,na mzizi wa mtazamo wangu unatoka katika kaiba yetu tulionayo hivi sasa.
Suala la vyama vingi na taratibu zake ni jambo la kisheria kama ilivyohainishwa kwenye katiba pale tulipofanya marekebisho ya katiba ili ku Accomodate mfumo wa vyama vingi nchini mwaka 1992.
Sasa tuangalie hiki kinachoendelea hapa nchini kwamba Rais amezua vyama vya siasa kufanya kazi zao, hili jambo huwa silielewi napata ugumu kuelewa maana yake ninini. ikiwa Raisi kila atakachosema kikifatwa hata kama ni kinyume na katiba tunatakiwa kufata? hilo la kwanza.
Lakini kuna hili pia lavyama vyenyewe kuwa na mtazamo uliondani ya mipaka, Tujiulize ikiwa tunasema tumezuiliwa kufanya siasa na Mh, Rais je akiendelea zaidi na akasema lingine zaidi mfano hakuna uchaguzi mkuu mpaka 2025 mtafanyaje?
Sasa basi lazima tukubali kubeba wajibu wetu kama vyama vya siasa na kuchukua hatua, hivi tujiulize Mfano chadema wakiamua kufata taratibu na sheria katika kufanya mkutano mahali popote tanzania watu wakajitokeza nini kitatokea?
Kama watakamatwa kwa kufanya mkutano halali wakapelekwa mahakamani Charges zitakuwa zipi?yaani watafunguliwa shitaka lipi? na ikiwa itaamriwa kwamba walio kwenye mkutano wote ni wakosaji kwa maana hiyo wanatakiwa kukamatwa basi hakuna shida wajitokeze wote waende kituoni wote kwa mamia kwa maelfu na wawekwe lock up mpaka upelelezi ukamilike je hili linawezekana?
Kwanini hamtaki kuchukua hatua kama hizi,Maatima gandhi alikua na Satyagraha hii ilimpa nguvu zidi ya Waingereza.ni wakati wa kufanya jambo hili Mh lema aliwahi kulifanya kwa namna yake.Nitoe wito vyama vya siasa anzeni kufanya kazi acha kumsingizia Mh, Raisi. ikitokea mikutano inazuiwa na polisi hapo sasa ndo muda muafaka wa Satyagraha haiwezekani mkabaki na maneno tuu kwamba mnazuiliwa kufanya siasa, sijui kwa sheria ipi?
La mwisho ni kwamba kila jambo lina mda wake, utawala katika vyama vya siasa ulikofika sasa umefikia kikomo tunaitaji nguvu mpya mawazo mapya na mbinu mpya ilituweze kuvuka hapa ambapo Akina mbowe walipotufikisha wamefanya makubwa katika kuukuza upinzani na sasa inahitajika mbinu mpya ya kutuvusha hapa na mtu ninayemwona kimkakati wa kwenda nae ni Timu ya Tundu lissu.
Ni mtazamo tu.