Mkwamo wa siasa za upinzani Tanzania

Nomile

Member
Dec 5, 2012
99
125
Ndugu wananchi

Ninao mtazamo binafsi katika jambo hili,na mzizi wa mtazamo wangu unatoka katika kaiba yetu tulionayo hivi sasa.

Suala la vyama vingi na taratibu zake ni jambo la kisheria kama ilivyohainishwa kwenye katiba pale tulipofanya marekebisho ya katiba ili ku Accomodate mfumo wa vyama vingi nchini mwaka 1992.

Sasa tuangalie hiki kinachoendelea hapa nchini kwamba Rais amezua vyama vya siasa kufanya kazi zao, hili jambo huwa silielewi napata ugumu kuelewa maana yake ninini. ikiwa Raisi kila atakachosema kikifatwa hata kama ni kinyume na katiba tunatakiwa kufata? hilo la kwanza.

Lakini kuna hili pia lavyama vyenyewe kuwa na mtazamo uliondani ya mipaka, Tujiulize ikiwa tunasema tumezuiliwa kufanya siasa na Mh, Rais je akiendelea zaidi na akasema lingine zaidi mfano hakuna uchaguzi mkuu mpaka 2025 mtafanyaje?

Sasa basi lazima tukubali kubeba wajibu wetu kama vyama vya siasa na kuchukua hatua, hivi tujiulize Mfano chadema wakiamua kufata taratibu na sheria katika kufanya mkutano mahali popote tanzania watu wakajitokeza nini kitatokea?

Kama watakamatwa kwa kufanya mkutano halali wakapelekwa mahakamani Charges zitakuwa zipi?yaani watafunguliwa shitaka lipi? na ikiwa itaamriwa kwamba walio kwenye mkutano wote ni wakosaji kwa maana hiyo wanatakiwa kukamatwa basi hakuna shida wajitokeze wote waende kituoni wote kwa mamia kwa maelfu na wawekwe lock up mpaka upelelezi ukamilike je hili linawezekana?

Kwanini hamtaki kuchukua hatua kama hizi,Maatima gandhi alikua na Satyagraha hii ilimpa nguvu zidi ya Waingereza.ni wakati wa kufanya jambo hili Mh lema aliwahi kulifanya kwa namna yake.Nitoe wito vyama vya siasa anzeni kufanya kazi acha kumsingizia Mh, Raisi. ikitokea mikutano inazuiwa na polisi hapo sasa ndo muda muafaka wa Satyagraha haiwezekani mkabaki na maneno tuu kwamba mnazuiliwa kufanya siasa, sijui kwa sheria ipi?

La mwisho ni kwamba kila jambo lina mda wake, utawala katika vyama vya siasa ulikofika sasa umefikia kikomo tunaitaji nguvu mpya mawazo mapya na mbinu mpya ilituweze kuvuka hapa ambapo Akina mbowe walipotufikisha wamefanya makubwa katika kuukuza upinzani na sasa inahitajika mbinu mpya ya kutuvusha hapa na mtu ninayemwona kimkakati wa kwenda nae ni Timu ya Tundu lissu.

Ni mtazamo tu.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
27,125
2,000

summary!
 
Mkiti

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
944
1,000
Inaelekea we hujui Chadema ni ya nani, Act wazalendo ni ya nani, so and so, au umeamua kujitoa ufahamu. Jiongeze kidogo utapata majibu.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
39,493
2,000
Mleta mada inaonekana ww ni mgeni wa nchi hii. Ni hivi hizo sheria unazosema hazifuatwi bali kinachofuatwa ni hisia na mapenzi ya rais. Kumbuka sheria haziwezi kuhoji bali rais anaweza kuhoji nyuma ya pazia kwanini wapinzani wanaachiwa kufanya mikutano. Iwapo wapinzani wangefanya mikutano ambacho kingeendelea ni kipigo kitakatifu na hakuna yoyote angehoji sio viongozi wa dini wala nani, zaidi ya wapinzani wenyewe. Nchi hii yetu kutegemea sheria ni kujidanganya kinachotakiwa ni ujasiri na ujasiri huo siuoni kwa cdm ya sasa labda kwa Tindu Lisu tu.

Wangalau cdm hii ingekuwa ni ile ya kabla ya 2015 ila sio hii ya Lowassa. Usimtegemee mtu kama Mbowe kuongoza mkutano ambao kipigo kitakuwepo kwani ni muoga wa ajabu. Wangalau Lema anaweza, lakini aliwekwa ndani kwa uonevu miezi minne, je wananchi tulifanya nini kupinga uonevu ule wa wazi?

Ila sasa wangalau ccm chini ya Magufuli wameanza siasa kwa kuamini sasa wanakubalika kwa wananchi kisa makinikia, huo ndio wakati sasa wa wapinzani kupanda jukwaani na kufanya yao.
 
nkongu ndasu

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
22,521
2,000
wapinzani wameingia uoga. kwa sasa huku wakibuni mbinu nyingine wahakikishe wabunge wao wanapiga mikutano ya nguvu kwenye majimbo yao. siasa ni vita vya maneno.
 
Marlex Jr El

JF-Expert Member
Nov 6, 2015
1,794
2,000
Uongozi wa upinzani ndo hovyo kabisa kwanza ni wanafiki na awapendani ndo maana awafanyi kazi kwa ushirikiano.
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
8,469
2,000
Ndugu wananchi

Ninao mtazamo binafsi katika jambo hili,na mzizi wa mtazamo wangu unatoka katika kaiba yetu tulionayo hivi sasa.

Suala la vyama vingi na taratibu zake ni jambo la kisheria kama ilivyohainishwa kwenye katiba pale tulipofanya marekebisho ya katiba ili ku Accomodate mfumo wa vyama vingi nchini mwaka 1992.

Sasa tuangalie hiki kinachoendelea hapa nchini kwamba Rais amezua vyama vya siasa kufanya kazi zao, hili jambo huwa silielewi napata ugumu kuelewa maana yake ninini. ikiwa Raisi kila atakachosema kikifatwa hata kama ni kinyume na katiba tunatakiwa kufata? hilo la kwanza.

Lakini kuna hili pia lavyama vyenyewe kuwa na mtazamo uliondani ya mipaka, Tujiulize ikiwa tunasema tumezuiliwa kufanya siasa na Mh, Rais je akiendelea zaidi na akasema lingine zaidi mfano hakuna uchaguzi mkuu mpaka 2025 mtafanyaje?

Sasa basi lazima tukubali kubeba wajibu wetu kama vyama vya siasa na kuchukua hatua, hivi tujiulize Mfano chadema wakiamua kufata taratibu na sheria katika kufanya mkutano mahali popote tanzania watu wakajitokeza nini kitatokea?

Kama watakamatwa kwa kufanya mkutano halali wakapelekwa mahakamani Charges zitakuwa zipi?yaani watafunguliwa shitaka lipi? na ikiwa itaamriwa kwamba walio kwenye mkutano wote ni wakosaji kwa maana hiyo wanatakiwa kukamatwa basi hakuna shida wajitokeze wote waende kituoni wote kwa mamia kwa maelfu na wawekwe lock up mpaka upelelezi ukamilike je hili linawezekana?

Kwanini hamtaki kuchukua hatua kama hizi,Maatima gandhi alikua na Satyagraha hii ilimpa nguvu zidi ya Waingereza.ni wakati wa kufanya jambo hili Mh lema aliwahi kulifanya kwa namna yake.Nitoe wito vyama vya siasa anzeni kufanya kazi acha kumsingizia Mh, Raisi. ikitokea mikutano inazuiwa na polisi hapo sasa ndo muda muafaka wa Satyagraha haiwezekani mkabaki na maneno tuu kwamba mnazuiliwa kufanya siasa, sijui kwa sheria ipi?

La mwisho ni kwamba kila jambo lina mda wake, utawala katika vyama vya siasa ulikofika sasa umefikia kikomo tunaitaji nguvu mpya mawazo mapya na mbinu mpya ilituweze kuvuka hapa ambapo Akina mbowe walipotufikisha wamefanya makubwa katika kuukuza upinzani na sasa inahitajika mbinu mpya ya kutuvusha hapa na mtu ninayemwona kimkakati wa kwenda nae ni Timu ya Tundu lissu.

Ni mtazamo tu.
chadema warekebishe katiba waweke cheo cha propaganda na uhamasishaji kiongozwe na kamanda Lema. chini ya kuwe na makamanda toka kila mkoa
wengine ongezea nyama
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom