MKUYATI ndani ya nyumba.. tubanane! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MKUYATI ndani ya nyumba.. tubanane!

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by mkuyati og, Jul 16, 2011.

 1. mkuyati og

  mkuyati og JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 708
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 60
  Heshima kwenu wandugu. Nimejiunga hapa jamvini miezi michache iliyopita ila nilikuwa kama spectator kwa muda wote huo. Sasa nimeamua kujitosa mazima baada ya kuusoma mchezo kwa mda mrefu. Naamini nimeiva kwa kiwango cha kutosha kupokea na kutoa changamoto humu jamvini, hususan ktk maswala muhimu na endelevu yanayohusu kuikomboa Tanzania yetu kutoka ktk mikono ya Chama Cha Magamba. Nasema hiviii, Itafahamika tuu.. Mpaka kieleweke
   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,837
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Duh kama kuiva kwenyewe ndiyo huku nasema karibu mkuu .
   
 3. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,003
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mbona mgeni mineno inakumwagika kama umekunywa maji ya mtaroni? Khaaa!! Karibu...karibu ukae kwanza! Mwe!
   
 4. mkuyati og

  mkuyati og JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 708
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 60
  shukran mkuu
   
 5. mkuyati og

  mkuyati og JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 708
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 60
  taratib mzaz, mbona hapo nimejizuia sana! haya ngoja nikae japo kdogo
   
 6. L

  LEX STEELE JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 211
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhh ah
   
 7. j

  jmushi1 JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 16,231
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  Karibu Mkuyati,je unaufahamu mkashari?
   
 8. mkuyati og

  mkuyati og JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 708
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 60
  vp, unashangaa ama una mshtuko? tukaribishane jaman
   
 9. dazu

  dazu JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 365
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimefungua fasta nilidhani umetuletea kale ka mzizi ketu ka heshima ndoani, aahhhhhh! kumbe ndo jina lako!!!!!
   
 10. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  karibu mgeni hebu tujuze ulikotoka wazima?
   
 11. mkuyati og

  mkuyati og JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 708
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 60
  shukran mushi. mkashari siufahamu, ila nina hakija huo mkashari hauwezi kiwango cha mchezo wangu!
   
 12. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mkuyati mkuyati, haaa, hilo jina,mwee
   
 13. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aah aisee wewe nilikuwa nakutafuta sana utanisaidia kuimalisha ndoa,MKUYATI wellcome.
   
 14. mkuyati og

  mkuyati og JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 708
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 60
  huku mwisho wa upepo nitokako woote wazima, wanawasabahi great thinkers
   
 15. mkuyati og

  mkuyati og JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 708
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 60
  zuri eeh? ndo mimi origional
   
 16. mkuyati og

  mkuyati og JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 708
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 60
  gratitudes comrade, tupo pamoja.. ni PM
   
 17. mkuyati og

  mkuyati og JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 708
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 60
  kumbe mnakahitaji eeh?! mie ninako ila ni congenital.. yani kana-flow naturally damuni 24/7
   
 18. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,849
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mkuu karibu ktk jukwaa, hivi mkuyati hiyo dawa (MKUYATI) inatibu nini vile? Maana katika miaka ya 98 hilo jina lilikuwa muhimu sana kwa waganga matapeli pale Shule ya Uhuru.
   
 19. mkuyati og

  mkuyati og JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 708
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 60
  shukran mkuu. MKUYATI unasaidia kuongeza mushkel kwa wale wanaojihisi ni wazembe ktk maswala mazima ya kudandiana.. yani inaongeza ukakasi
   
 20. Mwenzetu

  Mwenzetu JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 501
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  .................mkuyati,duh heshima kwako,maana kwanza umenikumbusha mbali,zamani zile pale stendi ya mabasi mjini moshi................,duh.................sitaki kufikiria kobe juu ya mti,....................karibu jamvini mkuyati,........................nasubiri kusikia nani zaidi mkuyati au kikombe cha babu.......................,siku hizi pia kuna mchina,je hapo unasemaje mechi unaiweza,,,,,,,,,,,,
   
Loading...