Mkuu wetu wa Jeshi la Ulinzi JMTZ ala kiapo cha Uadilifu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Mkuu wetu wa Majeshi V.S Mabeyo akila kiapo cha uadilifu!

PIX3.jpg

Kila kitu tayari, hati ya kiapo inasainiwa na Mkuu wetu wa Majeshi!

PIX4.jpg

Mnadhimu wetu Mkuu wa Jeshi letu Luteni Mwakibolwa naye akila kiapo cha uadilifu!

PIX6.jpg

PIX7.jpg

Kila la Heri afande wetu!
 
Sio Luteni ni Luteni Generali ama Liutenant General Nyumbu wewe
Ahaaa ahaaa JF raha kweli yaani . We jamaa utakuwa mfunga buti jamaa awakubali kukosea kutamka majina yao asa vyeo kwa wale tuliopitia huko tuna mengi ya kusimulia .
 
Hivi viapo vya uadilifu ndo nini maana hata usipokuwa muadilifu hakuna pitch yoyote utapata sasa vya kazi gani
 
Ahaaa ahaaa JF raha kweli yaani . We jamaa utakuwa mfunga buti jamaa awakubali kukosea kutamka majina yao asa vyeo kwa wale tuliopitia huko tuna mengi ya kusimulia .
Unamuita a Three Stars General Luteni ???
 
Mnadhimu wetu Mkuu wa Jeshi letu Luteni Mwakibolwa naye akila kiapo cha uadilifu!

Ukipita maeneo ya Lugalo unaweza kujuta kuzaliwa.

Kamanda mkubwa na anaetisha namna hiyo unamwita Luteni?. M.23 wakisikia jina lake nao wanatetemeka

Waombe radhi ijapokuwa umejificha kwenye keyboard.
 
Back
Top Bottom