BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,735
- 5,003
Awali ya yote shikamoo afande WANGU mkuu WANGU WA mkoa
Kiufupi tu nimekusikiliza kwa millardayo NAAMINI akuwepo kikaoni ila kama alikuwepo mwakiloishi nalo jema
Kiufupi naomba nishauri tupunguze utani zaidi hasa pale unapokuwa na watu kama madiwani wakitoka hapo wanatakiwa kutimiza majukumu makubwa ya wananchi
Hawa ukicheka nao vile hata kukiwa na shida utakosa kuwaadhibu mkuu wangu RC
Si hilo angalia ile video hata unapochekesha jamaa wanapiga story zao pembeni kama vile haupo ndani ama unaongelea nje
Vyema vikao vijavyo punguza kidogo viutani ili vijana washindwe kukuelewa na wanapokosea basi wawajibishwe barabara
Otherwise tunàkupenda tunashukuru kwa upendo unaoonyesha juu ya mkoa wetu wa tabora
Mungu akubariki sana