Mkuu wa wilaya ya Ubungo ni kiongozi wa hovyo kabisa

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,187
2,000

Hahari yenyewe eti
-Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mh Kisare Makori,anasema ameamua kumkamata Meya wa Halmashauri ya Ubungo na kuagiza Polisi wamuweke ndani sababu amekiuka taratibu za kazi kwa kuwaleta wanachama wa CHADEMA wa kanda ya Pwani na kuwatembeza katika miradi ya maendeleo ya halmashauri ya Ubungo ambayo inaongozwa na CHADEMA.

Hivi Meya wa Ubungo hilo eneo si ndilo eneo lake la kazi iweje akiwa katika eneo lake la kazi akamatwe ? Haya ni matumizi ya hovyo kabisa ya madaraka kwa Mkuu wa wilaya huyo, inafanana kabisa na Mkuu wa wilaya huyo kukamatwa kisa amekutwa na bahasha za tanzania government ofisini kwake sasa kumbe bahasha hizo zikutwe wapi? Au kumkamata polisi kisa amevaa kofia ya polisi sasa kumbe avae nini na yuko kazini? Au kumkata daktari mazani kwake na stetoscope shingoni sasa daktari stetoscope awe nayo wapi?

Mstahiki meya amekamatwa akiwa eneo lake la kazi hakuwa Temeke ambapo ni wilaya ingine sasa mkuu wa wilaya huyo anataka Meya wa Ubungo akafanyie wapi kazi?

Huu ni ulevi wa madaraka uliokithiri kwa mkuu wa wilaya huyo, na kama kujikomba kwa bosi basi ujikombaji huu umevuka mpaka.
 
lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,792

Chadema wamekuwa wapole sana,ubaya kwa ubaya wakati mwingine unalipa sana
 
ngalakeri

JF-Expert Member
Jul 17, 2014
1,368
2,000
Ni kweli wala sio ubishi atapandishwa cheo. Hii ndio style ya uongozi inayolipa ktk awamu hii. Swali ni moja tu, je anajua wakati ni ukuta?
 
lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,792
2,000
Jino kwa jino ni sera ya chama cha cuf,sera ya jino kwa jino ndio iliyozaa maridhiano Zanzibar,na hatimaye sera hiyo ikaipa cuf ushindi kwenye chaguzi zao,chadema piteni njia itayowafanya polis kuwaheshimu kama binaadamu
 
KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
16,591
2,000
Ni kweli wala sio ubishi atapandishwa cheo. Hii ndio style ya uongozi inayolipa ktk awamu hii. Swali ni moja tu, je anajua wakati ni ukuta?
je,akitumbuliwa hiki ulichokisema hauoni kitakuwa ni ubatili..?
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,533
2,000
Hahari yenyewe eti-Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mh Kisare Makori,anasema ameamua kumkamata Meya wa Halmashauri ya Ubungo na kuagiza Polisi wamuweke ndani sababu amekiuka taratibu za kazi kwa kuwaleta wanachama wa CHADEMA wa kanda ya Pwani na kuwatembeza katika miradi ya maendeleo ya halmashauri ya Ubungo ambayo inaongozwa na CHADEMA.

Hivi Meya wa Ubungo hilo eneo si ndilo eneo lake la kazi iweje akiwa katika eneo lake la kazi akamatwe ? Haya ni matumizi ya hovyo kabisa ya madaraka kwa Mkuu wa wilaya huyo, inafanana kabisa na Mkuu wa wilaya huyo kukamatwa kisa amekutwa na bahasha za tanzania government ofisini kwake sasa kumbe bahasha hizo zikutwe wapi? Au kumkamata polisi kisa amevaa kofia ya polisi sasa kumbe avae nini na yuko kazini? Au kumkata daktari mazani kwake na stetoscope shingoni sasa daktari stetoscope awe nayo wapi?

Mstahiki meya amekamatwa akiwa eneo lake la kazi hakuwa Temeke ambapo ni wilaya ingine sasa mkuu wa wilaya huyo anataka Meya wa Ubungo akafanyie wapi kazi?

Huu ni ulevi wa madaraka uliokithiri kwa mkuu wa wilaya huyo, na kama kujikomba kwa bosi basi ujikombaji huu umevuka mpaka.

Wewe hujui kwamba nafasi ya Naibu Waziri Posi na ya Waziri Muhongo bado zipo wazi na zinahitaji Watu?
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
14,341
2,000
Viongozi wa serikali na CCM kwa ujumla wanadhani kama vile wanaingiliwa hata katika majukumu yasio yao, kama hizi halmashauri zinazoongozwa upinzani.

Pili Katiba haiko sawa na haijaweka mtengano wa ki mamlaka kati ya wateule na wachaguliwa.
 
Ngoda95

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
2,637
2,000
Jino kwa jino ni sera ya chama cha cuf,sera ya jino kwa jino ndio iliyozaa maridhiano Zanzibar,na hatimaye sera hiyo ikaipa cuf ushindi kwenye chaguzi zao,chadema piteni njia itayowafanya polis kuwaheshimu kama binaadamu
Naungana na wewe, kungekuwa na mechanism yakumalizana na watu wa aina hiyo kivingine tungeheshimiana.

Huu unaoendelea kwa sasa ni upuuzi.
 
Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
9,190
2,000
Ccm hiyo iliyo mfukoni kwa mtu mmoja. Wengine wote hawajui wafanye nn? Wanajaribu kuhisi tu kwamba labda ukifanya kama Bashite ndiyo utapandishwa cheo. Uongozi wa awamu hii ni trial and error. Style hii kama haipo kwenye somo la masuala ya uongozi basi iwekwe.
 
ngilenengo1

JF-Expert Member
Feb 14, 2012
1,277
2,000
Naomba wanaomfahamu huyu Mkuu wa Wilaya hasa waliosama nae Lyamungo watupe habari zake. Inasemekana alikuwa mnoko sana hadi ikapelekea baadhi ya WATU KUMFANYIA JAMBO> HIVI ALIFANYIWA NINI WAKUU?
 
Kibo255

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
4,412
2,000
Watu wanapigania nafasi za juu wanafanya hadi yanayomchukiza,shetani maana Mungu anachukizwa na dhambi zote mwenzake wa hai yeye kaaribu mali huyu yeye kaona hilo ndio linafaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom