Mkuu wa Wilaya ya Ubungo aagiza Waziri Mkuu mstaafu Sumaye akamatwe na polisi popote alipo

Fikiria uchaguzi mkuu ukifika, pale mkurugenzi anapomtangaza mgombea kutoka upinzan ni mshindi.... wakuu wa wilaya watakataa matokeo
 
Kwa akili hizi walizonazo viongozi wa CCM ndio wataweza kupambana na magaidi wa kibiti?Wanapenda kujisumbua na mambo yasiyo na tija na kuacha mambo ya msingi!
 
Back
Top Bottom