Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Juma Homera, atimiza ahadi yake ya kuwapa runinga wafungwa na mahabusu

Unataka awanunulie ipi? wewe umeshapeleka unayotaka wapate? wapi ulipeleka?

Hiyp hata wakiipasua haileti uchungu, muhimu waone kinachorushwa.

Vizuri sana itawapa furaha , wawekeeni vipindi vya dini pia.

Ni heri kutopeleka kuliko kupeleka hicho.
 
Tunduru kuna cable kule, hapo inaungwa fasta wazungu haoooooooo!! wafungwa furaha tele!!
 
Jamani hiyo picha ni ya kutengeneza au ni halisi?jamani yaani hiyo chogo ndiyo ya kuita waandishi wa habari aisee kweli kiki inatafutwa kwa nguvu yaani ameshindwa kuwanunulia hata flat screen ya Sh 300,000?
 
KUTOA NI MOYO YEYE NDIYE AMETOA HIYO TV SASA NYIE MNAOBEZA PELEKENI HIYO FLAT SCREEN .....BASI IKIWEKEZEKANA MTURUSHIE PICHA

OVA
 
025875af0828d76d2c7539ff520d6854.jpg
 
Serikali ya awamu ya tano ina tabu sana haoni aibu na hako kativii kake hivi kashindwa kujipinda hata kaflatscreen ka inch 32 jamani kweli hali imebana kote kote.
 
Back
Top Bottom