Kuna kitu nataka kukisema ila roho inakua nzito sana, basi ngoja niisikilize na kuitii sauti ya ndani ila kwa Tanzania hali ni mbaya sanaUnajua kwenye miradi mingi Tz, unakuta matatizo mengi, ukiangalia kwa jicho la tatu, unakuta either yamechangiwa na poor supervision by Engineer, or bribes, or undeserved, and incapable contractor being awarded a contract!