Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

Ndio faida ya kuteuwa Viongozi wasio maadili na kulipana fadhilaa na watu wasiokomaaa kiakiliii .enzi za BENJAMIN MKAPA WENYE KUPEWA NAFASI NI WATU WALIOKAA UTUMISHI WA UMMA WENYE UZOEFU WA MDA MREFU

Siku izi okotaokota tuu ilimradi uwe na mwanachama wa CCM na uwe na domo kayaaaa

Unaongea sana mkuu kwa issue ya upande mmoja. Na ndio changamoto ya Sisi watanzania: tunapenda sana kujudge kutokana na mauchungu yetu yaliyosababishwa na Sisi wenyewe na mazingira yetu tulipo. Kwanini kwanza usishangae libandeji lile then kaaa kimya kusubiri upande wa pili? Mshauri kwa simu binti aende polisi pia.
 
Ndio faida ya kuteuwa Viongozi wasio maadili na kulipana fadhilaa na watu wasiokomaaa kiakiliii .enzi za BENJAMIN MKAPA WENYE KUPEWA NAFASI NI WATU WALIOKAA UTUMISHI WA UMMA WENYE UZOEFU WA MDA MREFU

Siku izi okotaokota tuu ilimradi uwe na mwanachama wa CCM na uwe na domo kayaaaa
Siku huzi viongozi hata wakikutana kidimbwi...hko ndiko wanafanya mchakato wamchague nani

Ova
 
Kwa maana nyingine raisi kampiga huyo binti.
Huyo DC si ndio mwakilishi wa raisi, akisemacho yeye ni kama kimesemwa na mkuu wa nchi.
 
Tatizo lipo kwenye vetting!!

Unateua msanii bila kujali maadili aliyonayo kiuweledi unadhani ata deliver!!?

"Ccm tafuteni watumishi wa umma wenye maadili walioitumikia serikali walau kwa miaka walau sita na kuendelea na sio kuchukua watu mitaani kisa wanaonekana kwenye tv!!
Hii okotaokota ni shida
Maana kuna wengine wakishateuliwa
Kazi yao kupora wake na madem za watu

Ova
 
Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Simon Simalenga amempiga na kumuumiza jicho mwanafunzi wa kike.
View attachment 2437142
Hii ni kampeni chafu tuu kutaka kumchafua DC wetu, Simon Simalenga ni mtu muadilifu sana!, itakuwa kuna upigaji anadhibii hapo Songwe, sasa wanamtafutia sababu kwa kumtungia story ya uongo!. Huyu binti sijui analipwa kiasi gani kutunga uongo huu!. Usikute hata hiyo bandeji kuubwa jichoni ni amefungiwa tuu nyumbani, usikute hajaripoti polisi, hana PF3, na bandeji ikitolewa hana jeraha lolote!.
DC Simon Simalenga, wewe endelea kupiga kazi na kazi iendelee, huku kutengenezewa movie kama ile ya Gwajima ni vitu vya kawaida sana!. Kwenye mabadiliko ya ma DC na Ma RC yanayofuata, huyu awe RC!.
P
 
Tatizo lipo kwenye vetting!!

Unateua msanii bila kujali maadili aliyonayo kiuweledi unadhani ata deliver!!?

"Ccm tafuteni watumishi wa umma wenye maadili walioitumikia serikali walau kwa miaka walau sita na kuendelea na sio kuchukua watu mitaani kisa
 
 
Jamaa linajifanyaga very serious, intelligent kumbe kichwani hamna kitu..
Hajifanyi!, he is very serious, na intelligent.
Is there any proof ya tuhuma hizo from just a single source, no police report, no PF3, no taarifa ya dakitari!. Hii kitu haijakaa sawa!.
Kwa sisi tunaomjua Simon Simalenga, is a man of impacable intergrity, unless he was provocked and was acting under provocation!.
P
 
Back
Top Bottom