Mkuu wa Wilaya ya Serengeti bwana Nurudini Babu Acha maigizo

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,441
12,862
Serengeti ni miongoni mwa jimbo ambalo mbunge wake aliunga mkono juhudi za mtukufu mkuu wawakuu kwa utendaji wake.

Juzi paliripotiwa kuwepo na uhaba wa chakula wilayani hapo. Kitendo cha ukosefu wa chakula (ambao umepigwa marufuku na mtukufu Rais) ulisababisha watoto watatu kupoteza maisha kwa kula mihogo yenye sumu.

Kwa hali yeyete ni kwamba wilaya ya serengeti ina njaa kwa watu wote.
katika hali isiyokuwa ya kawaida mkuu wa wilaya hiyo bwana Nurdin Babu amepeleka kagunia kamoja kachakula kwenye familia moja na kuwaacha wengine wakihangaika na kutaabika kwa njaa.

Wakati ambapo nchi inanunua mindege na kujenga midaraja wananchi wake wanakufa kwa njaa na mwenye nchi kawakataza wakuu wa mikoa na wilaya kutangaza na kutishia kuwafuta kazi.

Namshauri mkuu wa wilaya ile awape chakula watu wote wenye uhitaji kwani mva ikinyesha huwa hainyeshi kwenye nyuma MOJA

Chanzo( ITV habari, jioni hii).

Acha maigizo bwana Babu, acha maigizo mbunge. Uliunga mkono juhudi vipi watu wafe njaa na wakati kuna maendeleo
ndege kwanza maisha baadae.
 
Kama kuna njaa atoke frint aseme, JPM ni kiongozi mwelewa sana na mwenye huruma sana atasaidia wananchi wake na kamwe hajawahi kuwaacha .
Kama Dc anakana hakuna njaa, huyo huyo Dc alikili kuwa tembo wamemaliza mazao, basi kuna shida anayo.
Tusichukue maneno ya Dc na kuyafanya yawe mawazo ya presdaa wetu.
Vinginevyo DC atuambie bei ya mahindi SERENGETI ni sh ngapi? Elfu nne kwa debe la kg 20 kama hapa Rukwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serengeti ni miongoni mwa jimbo ambalo mbunge wake aliunga mkono juhudi za mtukufu mkuu wawakuu kwa utendaji wake.

Juzi paliripotiwa kuwepo na uhaba wa chakula wilayani hapo. Kitendo cha ukosefu wa chakula (ambao umepigwa marufuku na mtukufu Rais) ulisababisha watoto watatu kupoteza maisha kwa kula mihogo yenye sumu.

Kwa hali yeyete ni kwamba wilaya ya serengeti ina njaa kwa watu wote.
katika hali isiyokuwa ya kawaida mkuu wa wilaya hiyo bwana Nurdin Babu amepeleka kagunia kamoja kachakula kwenye familia moja na kuwaacha wengine wakihangaika na kutaabika kwa njaa.

Wakati ambapo nchi inanunua mindege na kujenga midaraja wananchi wake wanakufa kwa njaa na mwenye nchi kawakataza wakuu wa mikoa na wilaya kutangaza na kutishia kuwafuta kazi.

Namshauri mkuu wa wilaya ile awape chakula watu wote wenye uhitaji kwani mva ikinyesha huwa hainyeshi kwenye nyuma MOJA

Chanzo( ITV habari, jioni hii).

Acha maigizo bwana Babu, acha maigizo mbunge. Uliunga mkono juhudi vipi watu wafe njaa na wakati kuna maendeleo
ndege kwanza maisha baadae.
Tanzania hakuna njaa sema labda wananchi awana hela yakununua chakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom