Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea: Waliouza Korosho bila ya kuwa na mashamba hawatolipwa

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Mkuu wa Wilaya hiyo, Rukia Muwango amesema kuwa walioza zao hilo bila ya kuwa na mashamba wajiandae kisaikolojia kwani hawatolipwa

Zimekuwepo taarifa kuwa wauzaji wa zao hilo wanapaswa kuonesha mashamba walioyovuna Korosho ili walipwe na Serikali

Rais Magufuli alitangaza kuwa Serikali itazinunua Korosho zote kwa bei ya Tsh. 3300 kwa kilo moja
 
Lakini mazao yote karibia yote hata mahindi hapa kijijini kwetu kuna watu hawana mashamba, ila wananunua mahindi kwa wakulima, wanayongeza dhamani kwa kuyapekecha vizuri na kwenda kuyauza mjni, kwa nisiwe hivyo kwa korosho ?
 
Mkuu wa Wilaya hiyo, Rukia Muwango amesema kuwa walioza zao hilo bila ya kuwa na mashamba wajiandae kisaikolojia kwani hawatolipwa

Zimekuwepo taarifa kuwa wauzaji wa zao hilo wanapaswa kuonesha mashamba walioyovuna Korosho ili walipwe na Serikali

Rais Magufuli alitangaza kuwa Serikali itazinunua Korosho zote kwa bei ya Tsh. 3300 kwa kilo moja
Hii habari ni rahisi kuisoma tu hapa lakini ni chungu balaa hasa kwa walanguzi. Inamaumivu balaa unless kama waliziuza kupitia kwa wakulima
 
Mkuu wa Wilaya hiyo, Rukia Muwango amesema kuwa walioza zao hilo bila ya kuwa na mashamba wajiandae kisaikolojia kwani hawatolipwa

Zimekuwepo taarifa kuwa wauzaji wa zao hilo wanapaswa kuonesha mashamba walioyovuna Korosho ili walipwe na Serikali

Rais Magufuli alitangaza kuwa Serikali itazinunua Korosho zote kwa bei ya Tsh. 3300 kwa kilo moja
du walanguzi wanaowalangua wakulima chali ... huu mfumo usiende kule mbinga kwenye kahawa maana kuna watu wananunua magoma wataliwa hatari
 
Serikali itangaze wazi kwamba kufanya biashara ni kosa kisheria,hakuna biashara inayokosa mtu wa kati dunia yote huo ndiyo mfumo wa biashara,au basi serikali ingetangaza mapema kabisa kuzuia biashara ya aina hiyo ambayo ulikuwepo miaka yote kwani wakulima wengi huwa hawana uwezo wa kununua pembejeo hivyo kukopa kwa wafanyabiasha kwa makubaliano ya kuja kulipa korosho sasa hapo tatizo liko wapi?
 
Back
Top Bottom