Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando apata ajali ya gari

Psychologically wewe ulietaja neno stress kwenye haya mazungumzo ndio Una stress. Kwanza bi mdada hata hujui niko nchi gani unasema asubuhi. See where the problem lies?! Au Jf iko Dar pekee na Tandahimba?....

Hahahaaaa kuwa nchi gani inahusiana nini na huu mjadala?

Na kuwa Dar au Tandahimba inahusikaje hapa🙄🙄

Kwanza huna hoja kabisaaaa kwendraaaaaaa mshamba tuu wewe
 
Acha stress asubuhi asubuhi wewe. Unachofurahia haswa ni Alberto kupata ajali au ni chuki ya kwamba Alberto ni mwana CCM?
Na umuombe Mungu wako akuondolee moyo wa chuki kwa usiyoyajua na ujifunze kutenganisha siasa na utu wa mtu
Afe tu
 
Hahahaaaa kuwa nchi gani inahusiana nini na huu mjadala?

Na kuwa Dar au Tandahimba inahusikaje hapa

Kwanza huna hoja kabisaaaa kwendraaaaaaa mshamba tuu wewe
Sasa kama umeshindwa ku relate ulichoongea na hiyo point yangu ya Dar na Tandahimba....na umeshindwa pia ku relate hilo la Dar na Tandahimba ......utaendelea kula buku 7 hapo Lumumba mpk Yesu arudi.
Sio mbaya lkn.
Umeingia kwa deep waters hoja huna unanifukuza tu hahahhaahhaahahahhahaahahahahha

Sent from my Redmi 7A using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama umeshindwa ku relate ulichoongea na hiyo point yangu ya Dar na Tandahimba....na umeshindwa pia ku relate hilo la Dar na Tandahimba ......utaendelea kula buku 7 hapo Lumumba mpk Yesu arud...

Pole sana wewe unayedhani kuishi nje ya Tanzania ndio kuyapatia. Yaani dah, hadi huruma
 
Msando alikuwa accomplice wa Mwendazake, katili Kama nini. ingependeza akamfuata huko aliko Jiwe wasaidiane kuwaonea mashetani.
 
Mkuu wa wilaya Morogoro Alberto Msando maarufu mzee wa Gigy Money ameponea chupu chupu kuaga dunia baada ya ajali gari yaliyogongana uso kwa uso mkoani Morogoro hivi karibuni . Mapema tu huyu jamaa baada ya kuapishwa usiku wake kulitokea ajali ya magari matatu pale msamvu morogoro , inaonekana jamaaa anagundu la uongozi bora akasimamie Bar zake Arusha na zile demu za pale kona.... mana ya tatu itammaliza kabisa yakwanza ilikuwa mbali , ya pili imemtoa out , ya tatu itamtoa roho.

Zitto Kabwe anakuvuta vuta tu naona bado hujajua , akiwasha cha tatu lazima ulale chali.....

235895286_10226649824010571_4469843481204746930_n.jpg
 
Kuna siku moja alipata ajali ya gari keepleft cha Bagamoyo alikuwa chicha sana anaelekea Arusha akiwa na gari aina ya benzi.
 
Madude ya millioni 100! Yanabomolewa namna hii, tatizo nchi hii misafara ni mikubwa inatumia pesa nyingi.

Yaani viongozi wanatumia pesa nyingi kwenye misafara kuliko msaada na huduma wanazotoa huko wanapoenda
Hawa hawana huruma kabisa maana watoto wanasomea chini ya miti bila kuwahurumia.
 
No matter,hata wewe utakufa Tena kifo kibaya Sana kuwaliko unaowatamania wafe,

Shubamiti!!!
ila siyo Kama ya huyo jamaa wa profile kifo Cha aibu anazungushwa kwenye jua Hadi kakauka Kama kambare
 
Wewe unatetea unachokijua?

Haya, endelea kuhumu wenzio kwa chuki zako
Ila mama D tuambiane ukweli, Msando sio baba D kwel!!??

Ni mawazo yngu TU yenye uwalakini, kwa hyo usinikasirikie, nmeona umejitolea kumpambania Sana kwa nguvu zote!
 
Itakua gari lake lilitumika na ugeni, hapa tatizo/kesi lipo kwa OCD na RPC kwa uongozaji mbaya wa msafara au Taasisi iliyomuazima gari DC dereva aliyepewa majukumu hana weledi wa kazi za msafara. Kama Mkuu huyo wa Taasisi pia aliombwa aruhusu gari aendeshe dereva mwenye uzoefu akagoma imekula kwake.

Kwa kifupi hapo kuna mtu atasimama kazi
Bado hoja ya msingi iko palepale ni kwa nini hii misafara ni mikubwa sana na wanaendesha kwa kasi sana?? Ndiyo matumizi ya ongezeko la miamala???
 
Back
Top Bottom