MPARE KIBOGOYO
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 404
- 258
- Thread starter
- #21
Wamepewa siku 30 ujenzi uishe.Wameonewa,hii nchi mtumishi anaenyanyaswa sana ni mwalimu.
Pesa ya ujenzi imetoka wiki 1 imepita,alafu watawala wanataka madarasa yakamilike ndani ya wiki 3.
Sasa hawa walimu walikosa muda wa kufunya maandalizi maana ujenzi wenyewe unakwenda kwa haraka sana,wawape muda walomu
Pesa zenyewe ni za misaada ya corona alafu mnakuja kuwanyanyasa walimu wetu.
Walimu wenyewe wala serikali haiwajali mishahara yao haijaongezwa kwa miaka 5 sasa,watu wanaishi na stress alafu mnawaweka ndani kwa mambo ya kijinga.