Kwani wameanza leo. Tangu ma-DC wameanza kusimamisha watumishi kazi umewahi wapi kusikia TUCTA ikilalamika...unadhani TUCTA ni wajinga ila wewe ndio mwelevu? Kama hujui mambo kaa kimya kuliko kuanika upumbavu wako.
Mamlaka hutolewa na sheria. Can u quote for us a proper section that confer a power to the DC to do such a thing
Na mimi nipe kifungu cha sheria kinacho zuia DC kusimamisha mtumishi wa umma anae hudumu katika ngazi ya halmashauri ya wilaya.
Kwa kuwa sheria sio tu inatoa mamlaka...bali pia inaweka mipaka.
Mkuu wa wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Christopher Ngubiangai, amemsimamisha kazi Afisa Afya wa Wilaya hiyo, bwana James Ndembo, kwa muda usiojulikana kufuatia wizi wa zaidi ya shilingi milioni 19.
Ngubiangai amemtuhumu Ndembo kwa wizi wa fedha hizo zilizotengwa ili kutoa elimu kwa wananchi juu ya magonjwa yasioambukizwa. Amedai kuwa Ndembo alitoa fedha kiasi cha shilingi 25,151,430 benki na kuzihifadhi kwa mweka hazina wa Manispaa ambapo amekuwa akichukua kiasi cha pesa katika nyakati tofauti kwa ajili ya matumizi binafsi.
Ndembo alijaribu kukimbia lakini amekamatwa na sasa yuko chini ya ulinzi.
Ngubiangai ameonya watumishi wa umma dhidi ya wizi wa fedha za umma, tabia ambayo inakwamisha maendeleo. Amesema watakaobainika kufanya hivyo watachukuliwa hatua kali za kisheria.
Kwani wameanza leo. Tangu ma-DC wameanza kusimamisha watumishi kazi umewahi wapi kusikia TUCTA ikilalamika...unadhani TUCTA ni wajinga ila wewe ndio mwelevu? Kama hujui mambo kaa kimya kuliko kuanika upumbavu wako.
Mkuu wa wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Christopher Ngubiangai, amemsimamisha kazi Afisa Afya wa Wilaya hiyo, bwana James Ndembo, kwa muda usiojulikana kufuatia wizi wa zaidi ya shilingi milioni 19.
Ngubiangai amemtuhumu Ndembo kwa wizi wa fedha hizo zilizotengwa ili kutoa elimu kwa wananchi juu ya magonjwa yasioambukizwa. Amedai kuwa Ndembo alitoa fedha kiasi cha shilingi 25,151,430 benki na kuzihifadhi kwa mweka hazina wa Manispaa ambapo amekuwa akichukua kiasi cha pesa katika nyakati tofauti kwa ajili ya matumizi binafsi.
Ndembo alijaribu kukimbia lakini amekamatwa na sasa yuko chini ya ulinzi.
Ngubiangai ameonya watumishi wa umma dhidi ya wizi wa fedha za umma, tabia ambayo inakwamisha maendeleo. Amesema watakaobainika kufanya hivyo watachukuliwa hatua kali za kisheria.
Msionee watu kwa kujipendekeza.
Ukiona TUCTA wamekaa kimya...halafu wewe ambae si lolote si chochote unapiga makelele...basi ujue una ulakini mkubwa sana.
MIMI sina mkuu kwa hiyo anaendesha shughuli zake kibora liende.
Kwani wameanza leo. Tangu ma-DC wameanza kusimamisha watumishi kazi umewahi wapi kusikia TUCTA ikilalamika...unadhani TUCTA ni wajinga ila wewe ndio mwelevu? Kama hujui mambo kaa kimya kuliko kuanika upumbavu wako.
Sasa mkurugenzi wa halmashauri na mkuu wa wilaya nani mkubwa? Ni sawasawa na kusema rais hana mamlaka, ila katibu mkuu kiongozi ndio anayo. Acheni upumbavu wa kuzungusha mikono...fanyeni utafiti...wakuu wa mikoa na wilaya ni watu wazito sana TAMISEMI. Hivyo ishu yoyote inayohusu watumishi wa umma katika wilaya au mkoa...ipo chini ya mamlaka ya wakuu wa wilaya na mikoa respectively. Wakuu wa wilaya ndio wawakilishi wa rais katika wilaya husika. Sio nafasi ndogo hii.
Kinacho wakera wengi ni kuona kuwa wakuu hao wa wilaya na mikoa ni makada wa CCM...mmesahau kuwa hata rais wa nchi nae ni kada wa CCM...hahahaha
Kama hujui vitu ni bora ukae kimya tu kuliko kuanika upumbavu wako hapa.
Wewe ndo huelewi...mwajir wa watumishi ngazi ya halmashaur ni DC....acha siasa kwa professionals
DC?? umeteleza nadhani ulimaanisha DED
ukiisoma vizuri sheria ya utumishi wa umma ya mwaka 2007 utaona ujinga wako umekaa wapi; usipofanya hivo hutautoa ujinga ulionao. Ndiyo maana nazidi kuamini kuwa hatuma sababu ya kimaendeleo kubaki na wakuu wa mikoa na wilaya.Sasa mkurugenzi wa halmashauri na mkuu wa wilaya nani mkubwa? Ni sawasawa na kusema rais hana mamlaka, ila katibu mkuu kiongozi ndio anayo. Acheni upumbavu wa kuzungusha mikono...fanyeni utafiti...wakuu wa mikoa na wilaya ni watu wazito sana TAMISEMI. Hivyo ishu yoyote inayohusu watumishi wa umma katika wilaya au mkoa...ipo chini ya mamlaka ya wakuu wa wilaya na mikoa respectively. Wakuu wa wilaya ndio wawakilishi wa rais katika wilaya husika. Sio nafasi ndogo hii.