Mkuu wa Wilaya ya Liwale afia Guest House!

Serikali ya JK/CCM bana, juzi tu hapa waziri kalizwa na mudada guest house, leo mkuu wa wilaya anafia kifuani mwa mudada guest house.
Sasa ndugu wananchi maendeleo yatatoka wapi wakati serikali nzima inawaza "hii kitu hii"?!
Nchi haina umeme, maji, barabara, reli, viwanda, shule, vyuo, hospitali za uhakika; tuliowaamini watuongoze wao wanatongoza tuuuuu!
Poleni mliofiwa..
 
Si kuna Ikulu kila wilaya na mkoa,kipi kimemfanya aende gesti huyu alikuwa na Malaya huko gesti anagonga ngozi.
 
R.I.P Paul simhukumu Marehemu hata kidogo kwani inawezekana baba wa watu hata rushwa hajawahi kula. Tusifanye joking na vitu vya namna hii wanajamvi lazima tuonyeshe soneneko kwani ni binadamu mwenzetu regardless anatoka chama gani. Watoto wanalia, Mke wake analia na wazazi pamoja na ndugu wamepoteza kipenzi chao. Ni muda wa kuwafariji na siyo kuwakejeli kwa sababu ya itikadi zetu za siasa kwani hii ni njia ya watu wote awe mwema au mwovu.
 
Kuna mshkaj wangu yuko eneo la tukio anasema polisi wanajiandaa kuvunja mlango wa hiyo lodge then akafanyiwe post mortem. Tutapata majibu leo leo (kama yatakuwa ya kweli) maana nchi hii nayo.

Enhe news zimeingia kutoka ndani kabisa kwa wale askari waliovunja mlango kuitoa maiti.
Room kumekutwa viatu vya kike
na pakti ya viagra iliyofunguliwa.

Gnyt guys
 
Mbunge wa Jimbo la Liwale Faith Mitambo (wa pili kushoto), akikabidhi seti ya
jezi kwa Nahodha wa timu ya soka ya Serengeti FC, Johnson Raymond (kulia, wakati
wa hafra ya kukabidhi msaada wa vifaa vya michezo iliyofanyika mjini Liwale
jana. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya hiyo Paul Chiwile.
(Source:Global Publishers)
Oooh masikini Mwalimu Paul Chiwile.
Alikuwa mwalimu wangu pale shule ya sekondari Kibaha miaka ya 1971-1976.
He was a gentleman.
Nimeenda kumuoana mwaka jana alipofiwa na mke wake aliyepata ajali kule Moshi.
Mke wake vile vile alikuwa mwalimu wangu.
Poleni sana watoto wa Mr & Mrs Paul Chiwile kwa kupoteza wazazi wote wawili in a span of one year, what tragedy.
Bwana Mungu aliwatoa na sasa amewatwaa, Jina lake lihimidiwe.
Amen

Dah! hiyo ni tragedy kupoteza wazazi wote within a year. RIP

Marehemu Paul Chiwile wa kwanza kushoto

DC.JPG
 
R.I.P Paul simhukumu Marehemu hata kidogo kwani inawezekana baba wa watu hata rushwa hajawahi kula. Tusifanye joking na vitu vya namna hii wanajamvi lazima tuonyeshe soneneko kwani ni binadamu mwenzetu regardless anatoka chama gani. Watoto wanalia, Mke wake analia na wazazi pamoja na ndugu wamepoteza kipenzi chao. Ni muda wa kuwafariji na siyo kuwakejeli kwa sababu ya itikadi zetu za siasa kwani hii ni njia ya watu wote awe mwema au mwovu.

umesema vya msingi, ila kwa upande mwingine sio kila binadamu anapokufa eti kwa kuwa ana ndugu na jamaa wanamlilia basi ipooze maovu yake kwa watu wengine. Sisi ni watu na tuna mioyo na hiyo mioyo huwa ina jazwa upendo au chuki kutokana na matendo husika yaliyopo. Kwa ishu ya kuhujumu mali ya nchi hawa mafisadi WAKIFA basi wajue wananchi hawatakuwa na dua njema wala habari ya R.I.P kwao, ila kitakacho kuwa kwa wananchi juu ya mafisadi ni GO TO HELL.
 
Ila kwann umwombee mwenzio kufia choon si vizuri wa2 wengine ni watendaji wazuri 2,tusiwe driven na ushabiki kuwa critical thinker
 
Serikali ya JK/CCM bana, juzi tu hapa waziri kalizwa na mudada guest house, leo mkuu wa wilaya anafia kifuani mwa mudada guest house.
Sasa ndugu wananchi maendeleo yatatoka wapi wakati serikali nzima inawaza "hii kitu hii"?!
Nchi haina umeme, maji, barabara, reli, viwanda, shule, vyuo, hospitali za uhakika; tuliowaamini watuongoze wao wanatongoza tuuuuu!
Poleni mliofiwa..
Alokwambia kafia kifuani kwa mdada ni nani?acha hizo mkuu!
 
Back
Top Bottom