Mkuu wa Wilaya ya Liwale afia Guest House!

Wanabodi,

Hii nimetumiwa kwa SMS kutoa mkoa, fulani, kuwa kuna mkuu wa wilaya fulani, kafia Gest House fulani Vision iliyopo mkoa fulani. Hivi ninavyo post sasa, RC wa mkoa huo, akiandamama na RPC, RCO, OCD, na DCO NA kikundi cha askari na makachero, wameizunguka hoteli hiyo ili kuvunja mlango kuthibitisha tukio hilo!.

Jina la Mkoa, na Mkuu wa wilaya hiyo nimelihifadhi ili kusubiri uthibitisho.

Lengo la kuposti mapema ni kuhakikisha wewe kama mwana jf, "be the first to know".

Pasco.

Pasco ukihifadhi (ficha) taariifa unaweza ua jf maana kusudio la jf ni kufichua taarifa ambazo wengine wameficha
 
Kuna mshkaj wangu yuko eneo la tukio anasema polisi wanajiandaa kuvunja mlango wa hiyo lodge then akafanyiwe post mortem. Tutapata majibu leo leo (kama yatakuwa ya kweli) maana nchi hii nayo.
 
Cardiac arrest hizo, na bahati mbaya kwenye mechi hizi hakuna first aid wala madaktari kama kwenye soka maana angeweza kuokolewa kama Fabrice Muamba. RIP DC
 
usiandike kama utaki tujue.Mtu kufia guest house ni kosa?! ungesubili upate taharifa kamili ndio uandike, umejuaje kafa kama ata mlango ndio unaenda kuvunjwa? .Amani kwako
 
RIP Chiwile, Utakumbukwa sana na Mkulu kwa kumsaidia wakati ukiwa Mkuu wa wilaya Bukombe
 
Back
Top Bottom