Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basila Mwanukuzi apata ajali ya gari

Mwendokasi kasi na hizi barabara zetu ni hatar
Yaani ni kweli kabisa mkuu, barabara nyingi kwa kiasi kikubwa ni nyembamba, mashimo na viraka kila mahali, matuta, kona kali inabidi uwe makini sana, yaani uko zako speed 140 ghafla kukuta shimo hili hapa ni kitu cha kawaida sana. Kitu ambacho wengi hawajui huko highway kosa moja kusababisha kifo chako ni rahisi sana zaidi ya asilimia 80, tofauti na hizi ajali za mjini mjini huku Mwenge Kijitonyama ambazo mtaishia kuvunjiana taa tu na pasua bamba.
 
Yap kwel kabs
Hizi barabara za mikoan kama sio mzoef ni hatar mashimo viraka ni kila mahali
 
Back
Top Bottom