Egnecious
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 875
- 960
Leo Mkuu wa Wilaya Mteule wa Kinondoni ametembelea Clouds radio na TV na kupata nafasi ya kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Ruge Mutahaba na kusalimia management nzima ya Clouds. Aidha Mkuu wa wilaya amewasalimia watumishi wa idara mbalimbali kabla ya kuzungumza katika kipindi cha Leo Tena.
Mkuu wa Wilaya pia amealikwa katika kipindi cha Jahazi cha Clouds FM leo jioni saa 10 unusu.
Mkuu wa Wilaya pia amealikwa katika kipindi cha Jahazi cha Clouds FM leo jioni saa 10 unusu.