Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,487
Baada ya DC wa Iringa kubeba box la paracetamol na kujilengesha kwenye kamera ili imchukue, sasa kaamua kwenda kula mahindi mbele ya kamera na baadaye kusomba uchafu mbele ya kamera, ili kufikisha ujumbe kwa Mukulu.
Usishangae akapewa ukuu wa Wilaya ya Kinondoni au Ilala City Center pale.
Usishangae akapewa ukuu wa Wilaya ya Kinondoni au Ilala City Center pale.