Mkuu wa Wilaya ya Iringa asaidia kuokoa wahanga wa mafuriko

kabila01

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
4,235
4,961
942856_1017379728300867_4466788200299812317_n.jpg


Mkuu wa wilaya ya Iringa akisaidia kuokoa wahanga wa mafuriko katika tarafa ya pawaga
 
Ni wajibu wake kufanya hivyo kama kiongozi anapaswa kufanya zaidi ya hapo. Hii mito inayofurika ifikapo kiangazi inaweza kuwekewa mkakati wa kudumu wa kuichimba na kuipa kina kirefu zaidi ili mvua zikinyesha kwa wingi isijae haraka na kufurika.
 
KUONGOZA NI KUONYESHA NJIA. (by J.K.Nyerere) MARA NYINGI NAKUJUA UNAPENDA KUONYESHA NJIA KWA WAZI. NATUMAINI JPM ATAKUONA,
 
Hayo macho yanaashiria kuna ujumbe anatuma kwa JPM
Acha roho mbaya. Ulitaka acheke? Mwenzako yuko kazini wewe unafikiria mambo ya promosheni. Wakati mwingine tujaribu kuwa na mawazo chanya basi, angalao hata kidogo tu.
 
942856_1017379728300867_4466788200299812317_n.jpg


Mkuu wa wilaya ya Iringa akisaidia kuokoa wahanga wa mafuriko katika tarafa ya pawaga


Huyu naye anataka atambuliwe kama ilivyokuwa kwa DC Makonda. Huenda huyu DC wa Iringa amejipiga selfie...I hate viongozi wanafiki. Makonda ni bahati yake na ni kweli kijana Makonda anachapa kazi...sasa wewe huko Iringa unatumia watu wako walete picha ya majukumu yako mtandaoni! Ningekuwa na uwezo ningemcharaza bakora huyu kwa 'cheap politics' zake.
 
Back
Top Bottom