poordecision making...............
Mkuu wa wilaya ya Ileje Joseph Mkude ameyavunja madaraja manane mto songwe kwamadai yanatumika kuingiza magendo,waharifu na wahamiaji haramu kutoka malawi.
Source [HASHTAG]#Mwananchi[/HASHTAG]
kaka nimeona jana kwenye tv mie mwenyewe nimechoka aisee, daahSITAKU KUAMINI HIKI KINAWEZEKANA .....
hahahahahahahahaMto ukikauka ataujaza maji ili wahalifu wasipite?
ndio hawa walichekiwa cv na vyeti vyao ndio kupewa madaraka, huu mto huwa unakauka, sasa ukikauka ni kweli utajazwa maji kama alivyosema mwenzangu humu humu jfUkiazi mwigine umepitiliza sasa....kah!!!