Chifu Sanze
JF-Expert Member
- Jul 20, 2021
- 3,097
- 6,280
Imeshasemwa mara nyingi chanzo ni hiyari kinachofanyika ni watu kupewa elimu juu ya faida na hasara iwapo utachanjwa au hutochanjwa lakini uamuzi utabaki kuwa wako mwenyewe, unataka afanye nini zaidi.Ni kundi gani linalomuunga mkono mama?mbona anahangaika na chanjo 1m.tu haziishi wakati wana CCM ni 8m? Si ni sawa tu na hao Sukuma gang mnaowasema?
Kaeni mkijua huyu Mama hatotoka hadi 2030 labda itokee kudra ya mwenyezi Mungu kama hampendi kunyweni sumu mumfuate mliyempenda.