Mkuu wa wilaya ya Hai Norman Sigalla afanya ufisadi jimboni hai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa wilaya ya Hai Norman Sigalla afanya ufisadi jimboni hai

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by migomo ya vyuo, Oct 23, 2011.

 1. m

  migomo ya vyuo Member

  #1
  Oct 23, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu huyo alilazimika kupotea na kusingizia anakazi nyeti aliyopewa na mkuu wa mkoa hivyo asingeweza kuhudhuria kikao hicho cha wadau wa elimu chenye lengo la kupanga mkakati wa kujenga shule za kidato cha tano na sita jimboni Hai.

  Baadhi ya wajumbe walishangazwa na kutokutokea kwa mkuu huyo wa wilaya pia wajumbe wa kamati aliyojiundia ili kukusanya michango kwa ajili ya ujenzi wa shule hizo. Wajumbe walionyesha wasiwasi wao juu ya hatua ya mkuu huyo wa wilaya na jimbo analotokea kiongozi wa upinzani baada ya zoezi zima kutokuwa na uwazi.

  Baadhi ya madiwani wanasema taarifa hiyo iliwahi kuwasilishwa ila nusunusu ambapo mkuu wa wilaya aliwaambia inatokana na kumbukumbu kuliwa na virusi.

  Taarifa tulizo nazo na nyaraka nilizoweza kuzipata ni kwamba mkuu huyo amekusanya zaid ya milion mia nane ila anasema alipata milioni mia tano tuu.

  Nina uhakika pesa nyingi amezitumia kwa matumizi binafsi yeye na mshirika wake dr Oliki ambaye kuteuliwa kwake bado kunazua maswali mengi kwani yeye ni mtaalamu wa mifugo wa wilaya, pia mkurugenzi ambaye ndiye bosi wake hakushirikishwa katika uteuzi huo.

  Pia swali jingine ni vipi mkuu huyo wa wilaya aweze kupanga kuzijenga shule zilizoko chini ya mkurugenzi bila ya mkurugenzi kushirikishwa pia kumshirikisha mtaalamu yeyote yule.

  Naomba kuwasilisha wakuu
   
 2. Catagena

  Catagena Member

  #2
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Achunguzwe na DCI, cuz that's a crime, ikibainika apelekwe mahakamani......Haiwezekani watu maisha ni magumu, wanajinyima ili wachangie elimu mtu mwingine anakula pesa...that's bullshit
   
 3. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa namfahamu sana, alikuwa mume wa Mh. Pindi Chana ambao ndoa yao kwa sasa ina matatizo mzigo.

  Jamaa alikuwa anajifanya kama Mlokole fulani mpaka ikampelekea dada wa watu kuuingia mkenge. Baada ya hapo jamaa akawa haachi kitu, akafika mahali mpaka akawa anatembea na mama mmoja ambaye ni Mchungaji pale Iringa.

  Pamoja na kashfa hizo ugommvi mkubwa na aliyekuwa mwenzi wake ni kushutumiana Uchawi. Hilo ndilo limekuwa tatizo kubwa la huyu jamaa. Na kama mnavyojua kwa wenzetu hawa "Kilichounganishwa na Bwana...." Lakini hawaishi tena pamoja.
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Duh! Kwa hiyo Pinda Chana ni msela ? Na je nani alimpigia hii krosi sasa ame enda kufanya maangamizi kwa Mbowe ?
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  nani alishawahi kuchunguzwa na DCI akafanywa chochote?
   
 6. nzitunga

  nzitunga Senior Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna watu wanaamini jamaa ni usalama wa taifa, na ukuu wa wilaya alipewa kama ahsante. Na kiujumla hajatulia kwa totozi na pesa. Kabla ya kwenda hai alikuwa anafundisha chuo Kikuu Tumaini Iringa
   
 7. M

  Malila JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Huyu mama Mchungaji ukimtaja itapendeza zaidi ili wanaIringa wamfahamu kiongozi wao wa Kiroho alivyo.
   
 8. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Sigalla alitaka ubunge wa Makete kumbe tabia yake ndiyo hii dah !
   
 9. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  jibwa tu naye kama wakuu wake walivyo
   
 10. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,278
  Likes Received: 665
  Trophy Points: 280
  Apewe wananchi waamue mwisho wake (maana inaonrkana wanalindana huko serikalini).. Huezi kula hela za watu walojinyima hasa kipindi hii ya ukame wa pesa.
   
 11. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Dr OLIKI ameteuliwa kuwa nani wakuu?maana huyu bwana mifugo ni gaidi sana ,mke wake ni mwalimu mzuri kweli amejenga shule inaitwa SHILELA ACADEMY iliwahi kuwa ya tisa kitaifa,alikuwa anatufukuza kuchota maji kwenye nyumba yake mtaa "Kambi ya raha maeneo ya Ango garden,enzi hizo 1993 akiwa ametoka ulaya ,anamaringo sana huyu mzee mweusi ,najua alikuwa dr wa mifugo wa wilaya,sasa ni nani??Norman msigala aliwahi kuwa lecture Tumaini University, ni msanii anajifanya mlokole kumbe mwizi amechapisha vitabu vya wokovu vingi sana juzi hapa ametoka marekani na kukabidhiwa tuzo sijui ya nn?amekaa kinafki na ni kama anavizia nafasi fulani! Asituchafulie jimbo la Hai mm ni mwana hai ,nimekaa Boma ,mji matata unaopangika baada ya moshi mjini ,kuna ufisadi wa viwanja pale waliuza eneo la mapumziko kama ekari 25 kule gezaulole.chini mkuu huyu wa wilaya,mbowe mshughulikie huyu jamaa!asituharibie mji.
   
 12. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Dr Sigala kazi yake huwa ni kuisifia sura ya JK,
   
 13. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,856
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 180
  Mimi Huyu Bwana Kinachonisikitisha na Tangia Kipindi Chote Achaguliwe Kuwa DC alikuwa analala Moshi Kwenye Hoteli ya Fisadi Mmoja!! Ambae aligombea Ubunge Kwa Ticket Ya Magamba kwa Moshi Mjini Na Kutupwa Nje Kwa Mizengwe!! Hoteli Yenyewe Inaitwa OSY GRAND!!! Ninachojiuliza Je Huko kwenye Wilaya yake Kulikuwa Hakuna Nyumba ya Mkuu wa Wilaya!! Pia alikuwa na Gari ya serekali STK .... Ambayo alikuwa anafanya Self Driving na Kutumbua Hela Za Walipakodi Hapo Hotelini!!
  Je Wadau Wenye Taarifa Ya Gharama za Hapo Hotelini Anaweza Kutuwekea Hapa Jamvini!! Muheshimiwa Mbowe Fuatilia Hili ni Ufisadi Katika Jimbo Lako!!
   
 14. k

  kuruti Member

  #14
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna data zozote hapa za kutosha kumfanya Dk Sigalla atuhumiwe nazo kwa ushahidi, sana ni maelezo yasiyo bayana ya kuwa ametumbua millioni 300 ambapo hata hivyo hakuna ushahidi uliwekwa hapa ila speculation. Ninachoomba na kuuliza ni yafuatayo....

  moja: kuwepo na takwimu za ufujaji fedha na sio tuhuma tupu.

  mbili: ni wakuu wangapi wa wilaya wameweza kukusanya millioni mia moja za shule sembuse za Dk millioni mia tano?

  tatu: wakurugenzi wangapi wa halmashauri wako katika tuhuma nzito za utumbuaji hela za wananchi hadi huyo wa Hai awe ni Safi?

  Nne: Ni Dk sigala huyu huyu ambaye juzi juzi alikuwa anatumia gari binafsi kwa kazi za ofisi kwa gari lake la kiofisi kuwa bovu leo mmemgeuzia kibao?

  tano: wangapi kati yenu mnaomsema Dr Sigala mmechangia katika hizo shule?

  sita: wakuu wangapi wa wilaya ni PHDs?

  saba: wakuu wangapi wa wilaya ni wa umri wa Dr Sigalla?

  Hitimisho: tupate takwimu zenye uhakika hapa tuweze kutafakari na kuamua kwa haki!
   
 15. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,856
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 180
  PHD Nyingi ndio Zimetufikisha Hapa!! Hata Hivyo ni Kipi Alichokifanya Cha Kujivunia na Hiyo PHD Yake? Naomba Mchanganuo wa Makusanyo yote ya watu waliochangia Yawekwe Hadharani ili Tujue Mapato Na Matumizi!! Hii michango mingi inayofanywa na waheshimiwa kwa kiasi kikubwa Imeoneka ndio Chanzo kikubwa cha ufisasdi!! Kwani wachangiaji wengine Hutoa kwa siri wakijua waheshimiwa hawa ni Malaika kumbe ndio Wanakuwa wamewapa Mianya kibao ya Kunenepesha Matumbo Yao!! Pia ifahamike Utendaji wa Mtu sio PHD, ILA NI KUANGALIA KAIFANYIA NINI JAMII ILIYOMZUNGUKA!! HIZI PHD ZA KUKOPI NA KUJIFANYA WEWE NI ZAIDI HAZISAIDII SANA JAMII YA WATANZANIA!!
   
 16. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Umeuliza maswali mengi mno unaweza usipate majibu ya kutosha. Kaswali kangu ni:

  Je, Dr. Sigalla ndiye mkusanyaji na mtunzaji wa fedha hizo?
   
 17. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mimi nina maswali madogo tu kwako!

  1. mradi huu ulianza lini?

  2. mkurugenzi yupi hakushirikishwa wa sasa au aliyeondoka?

  3. hela hizo zipo katika akaunti gani na je kama ni halmashauri kwa nini mkurugenzi hajashirikishwa?

  4. fedha hizo katika harambee zilikuwa kiasi gani na makusanyo mpaka sasa ni kiasi gani?

  5. matumizi ya mpaka sasa unayajua? shule ngapi mpaka sasa zimejengwa?

  6. ningependa kuona vielelezo za wameibaje hawa watu?

  7. upo hai au umehadithiwa na wenye fitina na majungu?

  tafadhali naomba unijuze? kwa sababu mi mpaka sa hizi naona shule imejengwa ambayo ni hatua sa kama wamekula wamekulaje na ngapi?
   
 18. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Kama mtu anaiheshimu PhD yake hawezi kufanya kazi ndogo ya kisiasa kama kuwa Mkuu wa Wilaya. Hii inamaanisha hii PhD ni ya kiwango kidogo sana na inawezekana ni ya ku cut and paste. Anachofanya Sigalla hapo Hai hakimtofautishi na Mkuu wa Wilaya mwingine mwenye elimu ya ukada tu wa CCM. Sioni kazi inayofanywa na mtu mwenye PhD hapo kwani ni kama Sigalla ameamua kutupa elimu yake chini.
   
 19. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mtoto anaanzaga kukimbia mara moja au huwa anatambaa kwanza,tena heri huyu aliyeanza chn kuliko wanaojikuta juu ndo maana wezi
   
 20. k

  kuruti Member

  #20
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maneno yako ni msanii, mwizi, mnafiki, anachafua jimbo, weka takwimu hapa sio mineno miingi ya kashfa bila takwimu. nyie ndo wanafiki maana mnaongea mineno mingi na mitusi isiyo adabu lakini takwimu zero. WEKA TAKWIMU TUKUELEWE NA ACHENI MAJUNGU TENA YA KITOTO
   
Loading...