Mkuu wa wilaya ya Hai ametoa maelekezo kwa Polisi kuzuia mkutano wa ndani wa Chadema jimbo la Hai na muda huu polisi wamevamia ukumbini

Wakati huo Mbeya ccm wanaendelea na kongamano!!!!!!!!
Hata wakati wa chama kimoja, bado kulikuwepo wapinzani hata kama siyo official. Kwasasa naona tunafanya kama wakoloni! Kwasababu haki zao zinavunjwa, haki za kimsingi ambazo zinalindwa na katiba waliyoapa kuifuata hao viongozi!

Kipindi cha mwalimu, ambaye ndiye rais aliyekoswakoswa kupinduliwa, bado kuna kura ziliharibika kwa baadhi ya wananchi kupigia kura kivuli.

Sasa hiyo ni miaka zaidi ya 40 iliyopita! Nadhani kwa hili tumeingia chaka!

Yani kufanya mikutano ya ndani imekuwa uhalifu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanatakiwa wajiangalie sana,visasi vya ndani kwa ndani huwa haviishi,siku wakiwekwa bench lolote laweza kutokea
 
Ipo siku rais atawageuka hao ma rc , maana sidhani Kama aliwatuma kufanya hayo
 
Huyu DC akajifunze kwa yule mama wa kikokotoo. Akija kurukwa atajuta sana. Atumie na busara
 
Mbona wao ccm wapo live na TBC wanampongeza rais, songea walikua live nk

Tena wanafanya mpaka maandamano?
Cdm kufanya mikutano ya ndani wanakamata kwanini?
Hata kama huipendi cdm lazima uwapende kwa uonevu wanaofanyiwa

Ccm waliniwe milele
Wapumbavu sana ccm
ccm ni laana
 
Mkuu wa wilaya ya HAI alikuwa MKT wa UVCCM Arusha kama cjakosea...ndo alikuwa na kesi ya kujifanya usalama wa taifa. Baada ya kesi tu akateuliwa kuwa Mkuu wa wilaya;
Nawaza tu kwamba ni moja wapo ya mbinu chafu za kumtoa Mbowe...naona huyu jamaa ni certified idiot na kwa ujinga huu anaofanya atafanikiwa.
 
Back
Top Bottom