Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Ndugu Simon Odunga arudishwa kwao Rorya

Kwa hiyo lengo kubwa ni kwenda kumdhibiti Ezkael Wenje.

Hili limefanywa kimkakati sana iko hivi Halmashauri ya Rorya ina wakazi wengi wengi wajaluo (Luo) ila kwa viongozi wa wilaya kuanzia DC na DED na wengine walikuwa wakurya (au watu wenye kutoka nje ya mkoa huo) sasa kwa mujibu wa jamii hiyo ambayo mimi nimeishi sana huko mtua ambaye si mjaluo yeyote wanawaita Jamua. Sasa Juzi CCM wamemteua mgombea wa Ubunge mtu wa Rorya maeneo ya Kinesi bila shaka ambaye naye si Mjaluo kwa maana hiyo anaangukia kundi la Jamwa kwa mujibu wao, sasa kumekuwepo na kampeni za wazi za kukataa Wilaya nzima kuwa chini ya uongozi wa Jamwa wakawa wanasema yaani DC, DED , Wakuu wa idara wote ni jomwa (si waluo) halafu na ubunge pia tumpe jamwa hiyo haiwezekani chaguo likawa ni Wenje , sasa naona CCM wilaya na Mkoa wameshtuka wakaamua kumpeleka Odunga ili ku neutralize mambo. Bahati mbaya kaenda muda ushasogea sana, pili hatasimama kumnadi huyo mgombea wakati wa kampeni na tatu haitaondoa dhana kwamba huyo mgombea ni jamwa. Siasa za Rorya si mbali sana na za Kenya upande wa NYANZA (KISUMU) maana wako majirani na ni jamii moja ya waluo.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Eti ndugu zangu wa Tanzania nimesikia tetesi kwamba;

Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga arudishwa kwao kwenda kuwa DC mpya wa Rorya na yule wa Rorya kapelekwa Chemba?

OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

View attachment 1536385
Mmmh
 
Shida ni nini iwapo alimchapa mkewe kama bi mkubwa anavyochapwa na mumewe?
 
Back
Top Bottom