Mkuu wa wilaya ya Bariadi aende nyumbani sasa kwa kutoa maamuzi ya hovyo kabisa

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
13,506
2,000
"Na kama itaonekana nimefanya maamuzi yasiyo sahihi wacha niende nyumbani lakini nitashughulika na huyo mtu. Tarehe 21 Agosti 2019 saa sita mchana TMO, Mkurugenzi na Afisa Utumishi waniletee hicho kifaa ofisini kwangu"

Hayo ni miongoni mwa maneno aliyotamka mkuu wa wilaya ya Bariadi wakati akitoa maagizo ya hovyo kabisa kutaka wafanyakazi wa hospitali wachange kwa lazima kununu mashine iliyoibiwa hospitali.

Sasa uamuzi wake umetenguliwa hivyo aende nyumbani akapumzike kama alivyoahidi.

Kuna maelezo yalitolewa kwamba Wale Watumishi 137 wakatwe mishahara yao kulipia mashine ya Ultra Sound iliyoibiwa Bariadi, kiukweli Watumishi hawa wanafanya kazi katika mazingira magumu sana na kuwasaidia Wananchi, kitendo kama hiki ni kuwakatisha tamaa, lengo iwe ni kudili na waliohusika tu... natoa maelekezo Watumishi hawa wasichangishwe fedha ya aina yoyote sababu sio jukumu lao, namuelekeza Mkuu wa Mkoa uchunguzi ufanyike wabainike waliohusika” - SULEIMAN JAFO, WAZIRI WA TAMISEMI
Image may contain: 1 person, text

https://www.facebook.com/ufi/reacti...s6MTYzMzcwMTYxMzQzNjU0Mw==&av=100001710721970
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
162,233

That's reality
 
Ligaba

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
901
1,000
Hao ndio viongozi vichaa vichaa anaowapenda Raid wetu. Vinginevyo utasikia kapandishwa cheo na sio kuondolewa.
 
Ulirchdov

JF-Expert Member
Apr 4, 2019
357
500
"Na kama itaonekana nimefanya maamuzi yasiyo sahihi wacha niende nyumbani lakini nitashughulika na huyo mtu. Tarehe 21 Agosti 2019 saa sita mchana TMO, Mkurugenzi na Afisa Utumishi waniletee hicho kifaa ofisini kwangu"
Hayo ni miongoni mwa maneno aliyotamka mkuu wa wilaya ya Bariadi wakati akitoa maagizo ya hovyo kabisa kutaka wafanyakazi wa hospitali wachange kwa lazima kununu mashine iliyoibiwa hospitali.
Sasa uamuzi wake umetenguliwa hivyo aende nyumbani akapumzike kama alivyoahidi.
Kuna maelezo yalitolewa kwamba Wale Watumishi 137 wakatwe mishahara yao kulipia mashine ya Ultra Sound iliyoibiwa Bariadi, kiukweli Watumishi hawa wanafanya kazi katika mazingira magumu sana na kuwasaidia Wananchi, kitendo kama hiki ni kuwakatisha tamaa, lengo iwe ni kudili na waliohusika tu... natoa maelekezo Watumishi hawa wasichangishwe fedha ya aina yoyote sababu sio jukumu lao, namuelekeza Mkuu wa Mkoa uchunguzi ufanyike wabainike waliohusika” - SULEIMAN JAFO, WAZIRI WA TAMISEMI
Image may contain: 1 person, text
https://www.facebook.com/ufi/reacti...s6MTYzMzcwMTYxMzQzNjU0Mw==&av=100001710721970
Zilongwa mbali zitendwa mbali
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
84,367

Kabila gani ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom