Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo afunga watu wa kilimo kwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo afunga watu wa kilimo kwanza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Upanga, Jun 20, 2011.

 1. U

  Upanga Senior Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 135
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Ndugu wadau nimepata tetesi kuwa mkuu wa wilaya ya Bagamoyo amewaweka ndani kamati za Vocha wa vijiji kadhaa wilani Bagamoyo
  kwa kile kinachoonekana ni kupakaziana kwa wakulima na kamati zao pale Bagamoyo.
  Vijiji hivyo ni MIONO, KIKARO MBWEWE na vingine vitafuata leo katika ziara yake.

  Mwenye taarifa zaidi atujuze.
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo unataka tujadiri habari za kupakaziana?!, unatoa habari ukiwa biased.
   
Loading...