siyoi koroi
Senior Member
- Sep 6, 2016
- 177
- 214
Ni dhahiri sasa kuwa hali ya amani kwenye uchaguzi mdogo kata ya ngarenanyuki ipo mashakani.
Hii ni baada ya mkuu wa wilaya ya Aremer Alexander Mnyeti kumuagiza Afisa Mtendaji wa kata ya ngarenanyuki kuwa amtangaze mgombea wa ccm bw Zacharia Nnko kuwa mshindi hata kama kura zake zitakuwa hazijatosha.
Bwana Mnyeti alienda mbali zaidi kwa kumwambia mtendaji kuwa kama anaogopa kutangaza aseme ahamishwe kituo ili aletwe mtendaji ambaye atatangaza kwa kufuata maagizi yake.
Hali hii inatishia usalama na amani kwa watu wa ngarenanyuki ambao wanataka waachwe wamchague mgombea wanaye mtaka.
Toka kampeni zianze katika kata ya ngarenanyuki mkuu wa wilaya ya Arumeru na mkurugenzi wa halmashauri ya meru Bwana Christopher Kazeri wamekuwa ndiyo wanaoongoza kampeni za mgombea wa ccm kinyume na utaratibu .
Ni vyema sasa tume ya Taifa ya uchaguzi wakafahamu kuwa uchaguzi wa udiwani kata ya ngarenanyuki hautakuwa huru na haki kwa kwani tayari umeshavurugwa kwa amri ya mkuu wa wilaya.
mkuu wa wilaya pia amemuagiza mkurugenzi wa halmashauri ya meru kuhakikisha anapitia upya daftari la wapiga kura na kuondoa majina yote ya wapiga kura ambao wanajuwa kwa uhakika siyo wapenzi wa ccm