KARACHONYO
Member
- Apr 23, 2019
- 23
- 13
Salam sana.
Kumekucha najiuliza jinsi ya kutoka niifikie daladala ya kwenda Mbezi Mwisho kuelekea kwenye mizunguko ya kuusaka mkate.
Shida ya hapa Majengo nilipo kwenda Goba Mwisho ni barabara. Inapelekea ulipe bajaji sh 7000 Boda boda sh 3000 wakati hakuna hata kilimotea 4 .Maji ni WIKI sasa hata tone halitoki.
Maisha ya huku ni juu sana sijawahi ona!!
Nakuomba Mkuu wa Wilaya tembelea huku ukajionee.
USHAURI:
1. Wale watu DAWASCO wasipitishe mabomba chini ya madaraja mvua zikinyesha maji taka yanapasua hayo mabomba. Pitisheni mabomba juu
2. Barabara kutoka Salasala Majengo,njia nne Goba ni muhimu sana, kule kunawakazi wengi lakin hakuna huduma muhimu za AFYA na mahitaji mengine, hivyo basi jitahidi kuunganisha kipande kilichobakia kutokea kwa Spika Ndugai hata kwa kiwango cha Changarawe tu mtakuwa mmeokoa maisha ya watu wa eneo hili.
Sent using Jamii Forums mobile app