• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Mkuu wa Wilaya Ubungo tembelea Goba Kinzudi, Majengo na maeneo yote ya Goba Dar es salaam

K

KARACHONYO

Member
Joined
Apr 23, 2019
Messages
23
Points
45
K

KARACHONYO

Member
Joined Apr 23, 2019
23 45
Salam sana.

Kumekucha najiuliza jinsi ya kutoka niifikie daladala ya kwenda Mbezi Mwisho kuelekea kwenye mizunguko ya kuusaka mkate.

Shida ya hapa Majengo nilipo kwenda Goba Mwisho ni barabara. Inapelekea ulipe bajaji sh 7000 Boda boda sh 3000 wakati hakuna hata kilimotea 4 .Maji ni WIKI sasa hata tone halitoki.

Maisha ya huku ni juu sana sijawahi ona!!

Nakuomba Mkuu wa Wilaya tembelea huku ukajionee.

USHAURI:
1. Wale watu DAWASCO wasipitishe mabomba chini ya madaraja mvua zikinyesha maji taka yanapasua hayo mabomba. Pitisheni mabomba juu

2. Barabara kutoka Salasala Majengo,njia nne Goba ni muhimu sana, kule kunawakazi wengi lakin hakuna huduma muhimu za AFYA na mahitaji mengine, hivyo basi jitahidi kuunganisha kipande kilichobakia kutokea kwa Spika Ndugai hata kwa kiwango cha Changarawe tu mtakuwa mmeokoa maisha ya watu wa eneo hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lusungo

lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Messages
20,635
Points
2,000
lusungo

lusungo

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2014
20,635 2,000
Unakaa huko kutafuta nini? Wabongo mjifunze ku calculate cost za maisha. Haiwezekani uishi mbali na sehemu unayojitafutia mkate.

kigogo warioba

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
5,052
Points
2,000
K

kigogo warioba

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
5,052 2,000
Goba kinzuli✔

goba kinzudi✖
 
Kwekitui

Kwekitui

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Messages
725
Points
1,000
Kwekitui

Kwekitui

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2017
725 1,000
Salam sana.

Kumekucha najiuliza jinsi ya kutoka niifikie daladala ya kwenda Mbezi Mwisho kuelekea kwenye mizunguko ya kuusaka mkate.

Shida ya hapa Majengo nilipo kwenda Goba Mwisho ni barabara. Inapelekea ulipe bajaji sh 7000 Boda boda sh 3000 wakati hakuna hata kilimotea 4 .Maji ni WIKI sasa hata tone halitoki.

Maisha ya huku ni juu sana sijawahi ona!!

Nakuomba Mkuu wa Wilaya tembelea huku ukajionee.

USHAURI:
1. Wale watu DAWASCO wasipitishe mabomba chini ya madaraja mvua zikinyesha maji taka yanapasua hayo mabomba. Pitisheni mabomba juu

2. Barabara kutoka Salasala Majengo,njia nne Goba ni muhimu sana, kule kunawakazi wengi lakin hakuna huduma muhimu za AFYA na mahitaji mengine, hivyo basi jitahidi kuunganisha kipande kilichobakia kutokea kwa Spika Ndugai hata kwa kiwango cha Changarawe tu mtakuwa mmeokoa maisha ya watu wa eneo hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huko umejenga au umepanga?

Sent using [iPhone 11Pro Max
 
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
27,846
Points
2,000
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
27,846 2,000
Salam sana.

Kumekucha najiuliza jinsi ya kutoka niifikie daladala ya kwenda Mbezi Mwisho kuelekea kwenye mizunguko ya kuusaka mkate.

Shida ya hapa Majengo nilipo kwenda Goba Mwisho ni barabara. Inapelekea ulipe bajaji sh 7000 Boda boda sh 3000 wakati hakuna hata kilimotea 4 .Maji ni WIKI sasa hata tone halitoki.

Maisha ya huku ni juu sana sijawahi ona!!

Nakuomba Mkuu wa Wilaya tembelea huku ukajionee.

USHAURI:
1. Wale watu DAWASCO wasipitishe mabomba chini ya madaraja mvua zikinyesha maji taka yanapasua hayo mabomba. Pitisheni mabomba juu

2. Barabara kutoka Salasala Majengo,njia nne Goba ni muhimu sana, kule kunawakazi wengi lakin hakuna huduma muhimu za AFYA na mahitaji mengine, hivyo basi jitahidi kuunganisha kipande kilichobakia kutokea kwa Spika Ndugai hata kwa kiwango cha Changarawe tu mtakuwa mmeokoa maisha ya watu wa eneo hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
cc: JJ Mnyika ( MB) Katibu mkuu Chadema........ Hili ni jimbo lako!
 
Culture Me

Culture Me

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2017
Messages
7,561
Points
2,000
Culture Me

Culture Me

JF-Expert Member
Joined May 24, 2017
7,561 2,000
Duuuh! Poleni sana.
 
infinix

infinix

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2018
Messages
1,419
Points
2,000
infinix

infinix

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2018
1,419 2,000
Hizo kilomita nne utumie shs 10, 000 kwenda barabara kuu?
Kwanini usiwe unatembea kwa miguu ili kufanya mazoezi ya mwili?
Nilitembea km 5 kila siku kwa miguu kwenda na kurudi shule, na hapa njia ya makongo goba natembea km 3 kwenda na kurudi, kitambi kimetoroka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
15,598
Points
2,000
wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
15,598 2,000
Mpaka sasa majimbo yote yalio vhini y mbunge wa upinzani hakuna chochote kinachofanywa cha maendeleo hii ni hujma ya kisiasa ili mbunge mhusika aonekane hakufanya chochote kwa wananchi wake
 
N

Nyumisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2010
Messages
3,048
Points
2,000
N

Nyumisi

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2010
3,048 2,000
Mtanzania imradi tu aitwe Baba mwenye nyumba. Mtu anaishi mbali akijumlisha usafiri na muda anaopoteza barabarani bora apange mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha...ukikwama kodi ukatupiwa virago na mwenye nyumba lazima ukaishi kwenye ki-baby walker chako, hapo ndo mtihani wenyewe ulipo..
 
M

mmteule

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
2,832
Points
2,000
M

mmteule

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2011
2,832 2,000
Unakaa huko kutafuta nini? Wabongo mjifunze ku calculate cost za maisha. Haiwezekani uishi mbali na sehemu unayojitafutia mkate.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili za Kichumi
Lazima utoboe maisha Mkuu maana hii principle wengi hawaijui, mwishowe wanashangaa Wahindi kuishi Kkooo na Upanga yaana arround City Cetre
 
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
9,341
Points
2,000
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
9,341 2,000
Salam sana.

Kumekucha najiuliza jinsi ya kutoka niifikie daladala ya kwenda Mbezi Mwisho kuelekea kwenye mizunguko ya kuusaka mkate.

Shida ya hapa Majengo nilipo kwenda Goba Mwisho ni barabara. Inapelekea ulipe bajaji sh 7000 Boda boda sh 3000 wakati hakuna hata kilimotea 4 .Maji ni WIKI sasa hata tone halitoki.

Maisha ya huku ni juu sana sijawahi ona!!

Nakuomba Mkuu wa Wilaya tembelea huku ukajionee.

USHAURI:
1. Wale watu DAWASCO wasipitishe mabomba chini ya madaraja mvua zikinyesha maji taka yanapasua hayo mabomba. Pitisheni mabomba juu

2. Barabara kutoka Salasala Majengo,njia nne Goba ni muhimu sana, kule kunawakazi wengi lakin hakuna huduma muhimu za AFYA na mahitaji mengine, hivyo basi jitahidi kuunganisha kipande kilichobakia kutokea kwa Spika Ndugai hata kwa kiwango cha Changarawe tu mtakuwa mmeokoa maisha ya watu wa eneo hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugai anaishi Goba???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,403,682
Members 531,327
Posts 34,431,221
Top