Mkuu wa wilaya Ubungo,pamoja na mkurugenzi tatueni hii kero haraka

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,014
8,368
Mwangaluka bha ndgu moja ya watanzania?

Niende kwenye lengo.

Jaman wakazi wa kimara,mbezi na kwingineko tumepatwa na hadha ya magari makubwa yaendayo mikoani kukatazwa kuingia stendi ya Mbezi mwisho.

Gar zote kunwa zmeelekzwa pale kwa mbezi kwa Yusuph jaman pale hakuna miundombinu ya dharula ya kukabiliana na tatzo lolote wakati unapokuwa unasubili basi.

Yan mvua ikinyesha kama leo basi yote yako, vibaka wako pale huwez amini kama ni Dsm

Sjajua kwa nn mabasi yamekatazwa kuingia mbezi ila kwa ifupi ni kero kubwa kwa sasa kwa wakazi wa mbez wanao kuwa wanasafiri kwenda mikoani.

Tafadhali viomgozi nilio walenga tatften suruhu kbla hali haijawa mbaya maana uwezekano wa kutokea ajari ni mkubwa kutokana na udogo wa eneo.

Naomba kuwasilisha asubuh njema
 
Back
Top Bottom