Mkuu wa Wilaya Kisarawe, Nikk wa Pili na zoezi la kuchangia damu

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,174
27,219
Nikki wa Pili ameshiriki na kuchangia damu katika hospital ya wilaya ya Kisarawe.

Hii ni hatua kubwa Sana, kwa maana suala la upungufu wa damu hospitalini ni tatizo kubwa sana linaloklikabili nchi yetu. Hivyo kwa umoja wetu unapopata nafasi ya kuchangia damu fanya hivyo kama alivyofanya Nikki wa Pili.

Kwa hili ninaomba nimpongeze kwa dhati Nikki wa Pili.
Ni mfano wa kuigwa sana.
Kwa pamoja tutajenga.
#kazi iendelee#kisarawe mpya#

20210628_145516.jpg
20210628_145512.jpg
 
kaanza vyema,

akiendelea kutumia busara akili na ubunifu hakika atawasaidia sana watu wa kisarawe.

kinacho takiwa ni kujitoa na kutambua kuwa uongozi ni kuwatumikia walio chini yako kwa kuwatatulia kero zao mbalimbali.

Fanya kile unacho ona kwa fikra zako kinafaa, kama kiongozi kamwe usikubali kuyumbishwa au kuchukua maamuzi pale inapo bidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikki ni hadhina ya baadae
 
HUYU JAMAA NIKKI WA PILI YAWEZEKENA AKAWA NI HAZINA KWA UONGOZI WA NAFASI ZA JUU SIKU ZA MBELENI NI MTU SMART SANA. TUNAMUOMBA MWENYEZI MUNGU AMPIGANIE KATIKA HILI.
 
Nawaza tu kila mkuu wa wilaya akiwa anapost kila achokifanya wilayani kwake sijui hali itakuwaje
 
KWANI MA DC WANGAPI HUWA WANAPOSTI KAZI/SHUGHULI ZAO MBALIMBALI KWANI NIKKI NDIO WA KWANZA KUFANYA HIVI? HUYU NI KIJANA NI MTU SMART SANA.
 
Nikki wa Pili ameshiriki na kuchangia damu katika hospital ya wilaya ya Kisarawe.

Hii ni hatua kubwa Sana, kwa maana suala la upungufu wa damu hospitalini ni tatizo kubwa sana linaloklikabili nchi yetu. Hivyo kwa umoja wetu unapopata nafasi ya kuchangia damu fanya hivyo kama alivyofanya Nikki wa Pili.

Kwa hili ninaomba nimpongeze kwa dhati Nikki wa Pili.
Ni mfano wa kuigwa sana.
Kwa pamoja tutajenga.
#kazi iendelee#kisarawe mpya#

PR wa Nikki vipi kashaanza ujenzi wa kumlizia ghorofa lake?
 
Wakuu wa wilaya wengine waige mfano wa huyu dogo lakini kama wana ukimwi wapige kimya wasiumbuke
 
KWANI MA DC WANGAPI HUWA WANAPOSTI KAZI/SHUGHULI ZAO MBALIMBALI KWANI NIKKI NDIO WA KWANZA KUFANYA HIVI? HUYU NI KIJANA NI MTU SMART SANA.
Hata nilikuwa simjui,,,nimeanza kumuona ona hivi karibuni hongera kwake kama yuko smart
 
Back
Top Bottom