Mkuu wa Wilaya Kisarawe, Mradi wa Maji Kisarawe tunapigwa

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,220
12,937
Nimeshangazwa na post ya Mkuu wa Wilaya leo huko Instagram akijigamba kuwa wana mradi wa maji Kisarawe wenye thamani ya Billion 2 ambapo zaidi ya Billion 1 na Milion 700 tayari zishalipwa kwa mkandarasi na mkandarasi yuko site, ajabu anakuja kuambqtanisha clip ikionyesha mkandarasi akifanya hiyo kazi ata bomba hamna ikiwa washamlipa zaidi ya asilimia 90 huyo mkandarasi!

Huwezi kulipa hela zote hizo alafu hakuna kinachoonekana.

Screenshot_20210912-123051_Instagram.jpg
 
Maji tayari yapo huo sijui ni mto, mtaenda kuchota na ndoo, matatizo ya maji yana umri zaidi ya CCM, yataendelea kuwepo tu🐒
 
Back
Top Bottom