Mkuu wa Wilaya Kinondoni, Daniel Chongolo aagiza kukamatwa kwa Wanaume wanaonunua Changudoa

Hii kuleta wakuu wa wilaya kutoka mikoani kuja kuongoza jiji la dar inakuaga nuksi sana.

Wanakuaga washamba wa jiji ...wanaleta hulka za mikoani hapa mjini.

Makahaba wanasaidia sana ..tuwape credits for that!
Unapozuia maji mwenye mfereji wake, ukipatwa na mafuriko nyumbani kwako usilalamike.

Wacha wawazuie ngoma ihamie kwa mabint wa mitaani ili waambulie wajukuu wasio na baba na maradhi....maana machangu wanajitambua kwy kujikinga. Beki tatu ni mwendo wa fasta hawajui hata siku zao.
 
Tatizo viongozi wengi wa kuja hivyo wana mihemko na huu mji!
 
Ipo siku viongozi wa Chama pendwa cha CHAPUTA wataitwa central kuhojiwa, na puli itapigwa marufuku. Kwa sababu tumekabidhi nchi kwa ........…..………..…........................
 
Back
Top Bottom