Dume la mbwembwe hiloMkuu wa wilaya arudi uwanjani rasmi
Mkuu wa wilaya Iringa Bwana Richard Kasesela, baada ya kazi jana alijiunga na RUCU kucheza mpira wa kikapu. Mchezo ambao alikuwa akicheza enzio hizo. Mkuu huyo wa wilaya aliahidi kuukuza mchezo huo mkoani Iringa.
Labda abaki kwenye benchi la kupangiwa kazi nyingineMkuu wa wilaya wa kwenye mitandao.... Nitamshangaa Magufuli akimbakisha huyu jamaa.
Mkuu wa wilaya wa kwenye mitandao.... Nitamshangaa Magufuli akimbakisha huyu jamaa.
Nimeanza kupata wasiwasi na picha zake mitandaoni...huenda wako watu wanazituma bila yeye kujua kwa lengo la kumchafua.
....Lakini hajawahi kulalamika kuwa zinatumiwa na wabaya wake.!
Nadhani hiyo ni "hobby" tu ambayo Kiongozi yeyote anaweza kuwa nayo.Mkuu wa wilaya arudi uwanjani rasmi
Mkuu wa wilaya Iringa Bwana Richard Kasesela, baada ya kazi jana alijiunga na RUCU kucheza mpira wa kikapu. Mchezo ambao alikuwa akicheza enzio hizo. Mkuu huyo wa wilaya aliahidi kuukuza mchezo huo mkoani Iringa.
Hivi anakuwaga na kikosi kazi chake cha waandishi wa habari au watu wanamtaguta wenyewe? Angalizo ni kuwa anapaswa kuwa muangalifu Maana muda si mrefu tutaanza kuona picha zake za matukio ya aibu,Mkuu wa wilaya arudi uwanjani rasmi